Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Tukija kwenye mavazi.
Lacoste, Ralph Lauren, Tommy..
Look simple on guys huwa wanaonekana a little bit next level.
Yeah kumbe unaelewa!! Shida akina ndala ndefu hivi vitu hawaelewi but ukienda dunia ya kwanza majority wanaelewa!!
 
Creed aventus kuagiza 1M+ ..hapa lazima ujipange
 
Tukija kwenye mavazi.
Lacoste, Ralph Lauren, Tommy..
Look simple on guys huwa wanaonekana a little bit next level.
Nyie wadada mambo yenu ya uzungu..labda mitumba au midosho ya kariakoo, kibongobongo tshirt ya $70 unafikiri mchezo.
 
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
This thread is full of sh******t, pure nonsense! Mtu mzima na akili zako unawafundisha vijana kutumia gharama kubwa ili kupata ngono, zinaa na uasherati? Unawafundisha watu kutumia gharama kubwa kuitumikia dhambi???

Tokea umeanza kuwapata hao "wadada classy" umefaidika na nini??

Mkuu zinaa haina faida yoyote ile, zinaa ni hasara kwa mwili na roho pia. Vitabu vyote vya dini hapa duniani vinakemea sana zinaa... ikimbieni ZINAA...... fahamu kwamba kila jambo unalolitenda hapa duniani ipo siku utatoa hesabu yake yote.. amini nakuambia ipo siku utalipia kila uchafu unaoufanya hapa duniani.
 
Ukisoma comments za wengi humu utagundua wabongo wana shida ktk comprehension! Nimeweka category zote ila mtu ana grasp meaning kulingana na hali yake!! Mtu anakwambia yeye ni hela na kuhudumia but ameahindwa elewa the bottom paragraph ya thread imehusu nini! Tupo inferior mno emotionally kiasi ya kushindwa simple compression kwenye mijadala!!
Ukishindwa Ralph Lauren kuna minyuko mingine pia ya kiwango chako... Ila pia utakuwa simple but expensive pia

Tunaelewa tofauti.
 
hahha...sio wasukuma tu(japo wao ni too much).

Kuna kaka yangu Mtu mkubwa kabisa na vidato vikubwa kukuzidi...Ana ile accent halisi ya kiarusha na meno yetu yale.

Ukikutana naye sehemu mkaanza kuongea unasema huyu mvuta bangi tu....hizi za asili haziishi kiurahisi.


Hahaha!, mbonaaa!
Thank God for the old say..

"Dont judge a book by its cover"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanazimia, pressure daaah!
Lakini kutongoza sio mchezo,kazi moja ngumu sana,halafu saa nyengine mwanamke anakua anajua nini mwanamme anataka lakini dah!! wanawake Mungu anawaona lakini
 
Back
Top Bottom