Kujiamini ni moja katika "role" ya mwaname kwa mwanamke,kumpa mwanamke usalama na uhakiaka wa maisha yake,sijui mwenzangu wanaume wako "style" gani,
kila mtu ana anachokipenda katika kuvutiwa na mwanamke au mwaname,inawezekana unapenda wanaume wanaoangalia chini,hawakuanangilii machoni wakati wanaongea na wewe,lakini kwa vile wamevaa Gucci na versace,basi unavutiwa nao,..
Mimi sina mwanamke mbaya,sijawahi kuwa na mwanamke mbaya sivai Gucci wala nini, lakini wanawake wanavutiwa sana na "confidence" yangu,Najiamini sana,tena sana