Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Transcend wewe hupendi watoto classy? kwa lugha rahisi mtoto mkali/pini...

kuanzia minyuko hadi utembeaji.
Nina mmoja mkali ananitosha kaka..

Wala sikumpata kwa staili hii ya kufaa saa nzuri na perfume kali..

Nilikuwa mimi tuu! Saa na perfume nilikuwa navyo vile ambavyo nina uwezo navyo tuu.
 
Mkuu umepotea sana yan Women are the one who knows what to look for in Men....sasa saa itasaidia nini au perfume mkali wangu....be real be you try to show the best side of you sio mara eti usafiri private....be genuine man and improve how you face things they will be attracted to you.....

Few years back niligundua masharobaro weng huwa hawanauwezo wa kumiliki beautiful girls simply because wanacomplicate mambo....be simple tu kuwa na lugha nzuri umfuate kistaarabu asihisi unamuintimidate hata kama yupo na rafiki zake atakupa time to talk to her
 
Nakuja kupata mtt classy wa kuoa kumbe haya, jenga kwanza kijana then anzisha familia, starehe hazina mwisho, ujana maji ya moto [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna Umri unajisikia sana kufanya haya, na Kama pesa inaruhusu , basi fanya, ila nadhan wafanye sana ambao umri upo 21 -26 yrs, tuliozid hapo tunakuwa na Mawazo tofaut kidogo na hayo Mambo.
Sasahiv hatuko kuvutia wanawake kwa purfume, au kwa kulipa Bill , ila tupo kwa kuwavutia na Nyumba/viwanja, Potential Job, unavyodhaminika Kwenye jamii nk..
 
Kuna watu hawana elimu juu ya mahusiano kabisa kama unadhani uwanaume wako upo kwenye kuvaa vitu vikali na perfume za bei ghari inaonesha dhahili kua umechemsha , maana kuna watoto wazuri wamezaliwa maisha ya kitajiri ambao hata ufanye nini kapuku kama mimi hauwezi kuwa impress hata kidogo , lakini still unakutana naye unamtia sumu na mtoto anakuelewa wakati ukilinganisha maisha yake na yako ni vitu viwili tofauti , kuna wanawake wanakazi za maana wafanya biashara wanapesa ndefu lakini unakuta jamaa wa kawaida anaomba date na anapewa kwa ile confidence anayokua nayo tu , tabia za kutaka kujifanya matawi class hii inaonesha kuna something ume miss kama mwanaume tena bora demu ajue wew unamaisha ya chini kawaida tu kuliko kujidai tajiri alafu akagundua bonge la pretender , kwenye maisha siku zote kutakua na wenye pesa kuliko wew kutakua na wenye vitu vya maana kuliko wewe kama uwanaume wako unategemea vitu hivyo kila siku utajisikia inferior na wanawake wanajua sana type hii ya wanaume
 
Wewe ndio nonsense na jobless!! Ktk thread zote za maana umeona upoteze muda kwenye nonsense!! Kula dagaa kajambe mbele
Mkuu unajua nimetoka kula dagaa sasa hivi..😎😎
 

Lmao! Clown of a month!
Haya na wewe kila la heri na perfumes zako za dola 500 na miwani ya dola 900 etc huku nyumba unalipa kodi kwa aliyetumia akili kujenga ili uishi na mwenye ofisi akakuajiri. Akina warren buffet wangekuwa wajinga hivi leo wasingekuwa matajiri wa dunia.
 
Nina mmoja mkali ananitosha kaka..

Wala sikumpata kwa staili hii ya kufaa saa nzuri na perfume kali..

Nilikuwa mimi tuu! Saa na perfume nilikuwa navyo vile ambavyo nina uwezo navyo tuu.

Alikupendea hivyo hivyo ulivyotupia.
 
Heri yenu. Wengi tupo kuishi maisha yetu vile tunavyopenda,hatuhitaji kumvutia mtu yeyote.
 
Sio USAWA WA MAGU labda Enzi za J.K.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…