Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Nautaishi maskini daima izo ni dalili za kutokufanikiwa kwenye Misha yako
 
Waelekeze na namna ya kupata hizo pesa za kuishi hayo maisha.
 
Mkuu....nimemchukua mtoto k/koo nikampeleka beach sun rise wahindi na wazungu kibao. Sikuwa na usafiri wangu leo kuna mwana kauazima.

Nikarudi naye, nikampiga dinner ya maana. Nikamsindikiza kwao.
Mimi kwenye usafiri private kama sina wa kwangu ndio kimbilio.
 
Anxiety, is a mental health disorder characterised by feelings of worry, anxiety or fear that are strong enough to interfere with one's daily activities.
 
Haaahaaahaaaa....hivi unafikiri ni kweli kinachosemwa hapa na huyoo? Hakuna kitu hapo ptuu

Njoo pm nikupe series yake...utatapika kichefu chefu kitupu!

Mi nashangaa anatuwekea maisha ya akina pdiddy hapa wakati watu wako Tanzania.
 
Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.

Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
mwanamke class ana k ngapi ambazo wengine wa kawaida hawana? Halafu kuwa kama unavyosema uone kama kati yako na sisi wanaume tusio smart ni akina nani wanachukua vitu vikali mpaka whites kiulaini. cha ajabu ni wanawake classy lkn nao wana njaa na hela yako, kwann usiseme ukitaka mwanamke classy ni dau lako which is a fact!
 
Man! process nyingi as if unataka kucalculate mass of the sun. Why all this hustle?

Trust me, classy ladies are not that expensive.

Hizi ni style za kushindana na slay queens!
 
Kwa mshahara gani mzee.
Stay on your fuckin' lane.
Yule messenger pale kwa ofisi posta analipwa laki 4.5 akafanye hayo mambo kabisaa?!
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake,Dont generalize things.
 
Katika vyote hapo hujasema utafute hela ili upate hivyo expensive so kwangu ni useless[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…