Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course... P ndo kila kituduuh presha kisa p?
Mambou?
Kwahiyo kama tuko vizuri hatutakiwi kutunzwa na kupetiwa petiwa??Mmh nyie wadada wa JF si hua mnatuaminisha mko vizuri kiuchumi lakini
Mkuu....nimemchukua mtoto k/koo nikampeleka beach sun rise wahindi na wazungu kibao. Sikuwa na usafiri wangu leo kuna mwana kauazima.Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Haaahaaahaaaa....hivi unafikiri ni kweli kinachosemwa hapa na huyoo? Hakuna kitu hapo ptuu
Njoo pm nikupe series yake...utatapika kichefu chefu kitupu!
mwanamke class ana k ngapi ambazo wengine wa kawaida hawana? Halafu kuwa kama unavyosema uone kama kati yako na sisi wanaume tusio smart ni akina nani wanachukua vitu vikali mpaka whites kiulaini. cha ajabu ni wanawake classy lkn nao wana njaa na hela yako, kwann usiseme ukitaka mwanamke classy ni dau lako which is a fact!Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Ndio basi tenaKama huna hela?
Kwa avatar hiyo nawe ni miongoni mwa classy girlYeah