Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Me too....namsubiria jeshi la mtu mmoja liamke likinukishe kudadadeki

Ikifikaga ishu ya umri tu lazima povu la omo kama loote hivii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli wauma jamani asikuambie mtuu!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo ataona rangi zetu bibi yetu
 
Ukweli wauma jamani asikuambie mtuu!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo ataona rangi zetu bibi yetu
Kama li X halijaletwa sijui[emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

Komando kipensi yuko chimbo anafyatua [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] akiibuka huko sijui kama kesho watu watafanya kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.

Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc

Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.

Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!

Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!

Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!

Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!

Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...

Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Umetisha, umesema vitu nilivokutana navo kiuwasilia kazini na hata nje ya Tanzania na ni kweli vinafanya kazi. Mimi nina swali Kaka mkubwa "GENTLEMAN" tunaweza mpa jina gani zuri la kiswahili Au mwanaume mtanashati litapendeza?
 
Kama li X halijaletwa sijui[emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

Komando kipensi yuko chimbo anafyatua [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] akiibuka huko sijui kama kesho watu watafanya kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] [emoji23] ngoja tu amnyooshe kwanza

Siku hizi simuoneagi hurumaa
 
Umetisha, umesema vitu nilivokutana navo kiuwasilia kazini na hata nje ya Tanzania na ni kweli vinafanya kazi. Mimi nina swali Kaka mkubwa "GENTLEMAN" tunaweza mpa jina gani zuri la kiswahili Au mwanaume mtanashati litapendeza?

Kwakweli nami hutafuta direct meaning ya gentlemen in kiswahili sijapata. But hii formula ina apply sana!! Umepaka Perfume bleu de Chanel... mkononi umevaa Oris watch hata Rihana atakutazama!!
 
Everyrhing has got a value... example ; Ignorance. Classy Girl. Cheap Girl.

Free Lesson. Go for classy girl if u have a chance. By luck (Life has to offer) u may go for a cheap girl.

Haha pata picha umepiga original Prada eyewear ya 300 usd... mkononi una saa ya maana umetupia perfume maridadi then unaingia McDonald’s au burgeking ukutane na mrembo asikutazame?
 
Back
Top Bottom