Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- Thread starter
- #61
Unajidanganya. Ndio maana kila siku mnaanzishiwa thread humuMkuu wanawake wazuri hawataki mambo yote hayo,wewe unaonyesha hujui kutongoza,mwanamke yoyote yule anavutiwa na mwanamme anaejiamini,..
Style yako wewe utachunwa tu na wanawake, style yako inaitwa "Buzi style",mwanamme kama wewe unakaribisha wa wanawake wakuchune,pesa wanazopata kwako wanakwenda kutumia na Bad boys...
"Beautiful Women likes bad Guys,gangster style kind of guys "