Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Unakuwaje simple by wearing expensive brands??? Hadithi yako inafundisha uvae expensive stuffs to catch someone’s eye. Asa kama kazi yako polisi unaambia mtu habari za armani na gucci, u must be kidding.
You can be simple kwa original brands!! Oris watch looks simple but very expensive!! Rayban eyewear looks simple but expensive!! Simple means no manakshi nakshi hadi unaumiza macho ya watu!!
 
Umetisha, umesema vitu nilivokutana navo kiuwasilia kazini na hata nje ya Tanzania na ni kweli vinafanya kazi. Mimi nina swali Kaka mkubwa "GENTLEMAN" tunaweza mpa jina gani zuri la kiswahili Au mwanaume mtanashati litapendeza?
Eti mtanashati [emoji15] [emoji15]
 
Unakuwaje simple by wearing expensive brands??? Hadithi yako inafundisha uvae expensive stuffs to catch someone’s eye. Asa kama kazi yako polisi unaambia mtu habari za armani na gucci, u must be kidding.
Hawa vijana anaowazungumzia sidhani kama wapo jf...glasses za $300,saa sijui Oris etc etc
 
We kuwa rafu na Andelee kujiamini uone kamA hujawa mtu wa kutumwa tumwa bila kupata mchongo wowote wa maanA
Mkuu,hii nihari ya kweli..miminiko rafu sana lakini sijawahi kutembea na mwanamke mbaya,kujiamini,kuwa mzuri wa kuhangaikia maisha,hiyo ndio siri ya kupata mwanamke mzuri..

Jirani yangu ana mke mrembo sana,mtoto wa mjini,Jirani yangu ni mtu wa kujidai sana yuko vizuri kimavi,anavutia kiaina kimtazamo,..mtoto wa mjini "check Bob"

Siku moja shoga wa mke wake jirani akanambia kuwa mke wa jirani anatembea kimapenzi na muuza ndizi sokoni,sikuamini niliyoyaskia, baada kama ya wiki mbili hivi siri ikavuja .jirani ugomvi na mkewe na ukawa ndio mwisho wa ndoa yao,na mtaa wamehama wote wawili

kuna tafauti ya mwanamkena mwaname sasa kama utajipamba na showing off zote hizo ili upate mwanamke !!wanawake watakuzarau tu...
 
Nakubaliana nawe kimtindo; ila usisahau kuna life huwez kabisa ku-pretend though usawa huu!
 
Back
Top Bottom