Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can be simple kwa original brands!! Oris watch looks simple but very expensive!! Rayban eyewear looks simple but expensive!! Simple means no manakshi nakshi hadi unaumiza macho ya watu!!Unakuwaje simple by wearing expensive brands??? Hadithi yako inafundisha uvae expensive stuffs to catch someone’s eye. Asa kama kazi yako polisi unaambia mtu habari za armani na gucci, u must be kidding.
Eti mtanashati [emoji15] [emoji15]Umetisha, umesema vitu nilivokutana navo kiuwasilia kazini na hata nje ya Tanzania na ni kweli vinafanya kazi. Mimi nina swali Kaka mkubwa "GENTLEMAN" tunaweza mpa jina gani zuri la kiswahili Au mwanaume mtanashati litapendeza?
Nyie kina mwajuma hampendi mwanaume Gentle??Sisi akina Mwajuma Ndala ndefu tunapenda bodaboda.
Hawa vijana anaowazungumzia sidhani kama wapo jf...glasses za $300,saa sijui Oris etc etcUnakuwaje simple by wearing expensive brands??? Hadithi yako inafundisha uvae expensive stuffs to catch someone’s eye. Asa kama kazi yako polisi unaambia mtu habari za armani na gucci, u must be kidding.
Special to impress you classy lady...
Cc lusungo
Nimeuliza? Mi sijui Witty.Eti mtanashati [emoji15] [emoji15]
Ukipenda vinavyong'aa uvitunze! Sio kutaka ready madeNafikiri pia hakuna mwanamme anapenda mwanamke anayevaa rough...
Kila mmoja anapenda anayen'gaa na kupendeza vizuri.
Hivyo na kinyume chake kiwe sahihi.
Huyo huyo anayekuja na boda boda akiji'sopu sopu',inatosha.Nyie kina mwajuma hampendi mwanaume Gentle??
Mkuu,hii nihari ya kweli..miminiko rafu sana lakini sijawahi kutembea na mwanamke mbaya,kujiamini,kuwa mzuri wa kuhangaikia maisha,hiyo ndio siri ya kupata mwanamke mzuri..We kuwa rafu na Andelee kujiamini uone kamA hujawa mtu wa kutumwa tumwa bila kupata mchongo wowote wa maanA
UmemalizaKijana tafuta hela, hizo nyingine ni mbwembwe tu
NakaziaSasa hivi chenye nguvu kupita vyote ni pesa tu.
Ila kuna wanaume wengine mvutoless asee...hata avae or apake nini yaani ni havutii yaaan!Haha pata picha umepiga original Prada eyewear ya 300 usd... mkononi una saa ya maana umetupia perfume maridadi then unaingia McDonald’s au burgeking ukutane na mrembo asikutazame?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...na kama huna hela ndo kabisaUpo sahihi kabisa. Mimi nakosa wanawake wengi ninaowataka kwasababu ya kutokujipenda