Yeah kumbe unaelewa!! Shida akina ndala ndefu hivi vitu hawaelewi but ukienda dunia ya kwanza majority wanaelewa!!Tukija kwenye mavazi.
Lacoste, Ralph Lauren, Tommy..
Look simple on guys huwa wanaonekana a little bit next level.
Truuu shoga anguNaongopa shoga angu
Haha...Jaribu kwangu nione kama uko navyo. ..
Haaahaaa... Mbona nachambwa nakomaaa nao hivo hivo tufikie muafaka!
[emoji108]Truuu shoga angu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanazimia, pressure daaah!It is the same shit,wanaume wangine hupatwa na kigugumizi wakitongoza...
And hes very smart upstairs.Basi bora awwe hivo na awe si muongeaji kupita kiasi chaaaa
Asee Mungu hakupi vyoteAnd hes very smart upstairs.
πππ wengine hushikwa na mashuzi ,,[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanazimia, pressure daaah!
Haaaahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]πππ wengine hushikwa na mashuzi ,,
Nyie wadada mambo yenu ya uzungu..labda mitumba au midosho ya kariakoo, kibongobongo tshirt ya $70 unafikiri mchezo.Tukija kwenye mavazi.
Lacoste, Ralph Lauren, Tommy..
Look simple on guys huwa wanaonekana a little bit next level.
This thread is full of sh******t, pure nonsense! Mtu mzima na akili zako unawafundisha vijana kutumia gharama kubwa ili kupata ngono, zinaa na uasherati? Unawafundisha watu kutumia gharama kubwa kuitumikia dhambi???Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Ukishindwa Ralph Lauren kuna minyuko mingine pia ya kiwango chako... Ila pia utakuwa simple but expensive piaUkisoma comments za wengi humu utagundua wabongo wana shida ktk comprehension! Nimeweka category zote ila mtu ana grasp meaning kulingana na hali yake!! Mtu anakwambia yeye ni hela na kuhudumia but ameahindwa elewa the bottom paragraph ya thread imehusu nini! Tupo inferior mno emotionally kiasi ya kushindwa simple compression kwenye mijadala!!
Huwa najiuliza kwani kutongoza ji kazi hvo eee[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanazimia, pressure daaah!
hahha...sio wasukuma tu(japo wao ni too much).
Kuna kaka yangu Mtu mkubwa kabisa na vidato vikubwa kukuzidi...Ana ile accent halisi ya kiarusha na meno yetu yale.
Ukikutana naye sehemu mkaanza kuongea unasema huyu mvuta bangi tu....hizi za asili haziishi kiurahisi.
Lakini kutongoza sio mchezo,kazi moja ngumu sana,halafu saa nyengine mwanamke anakua anajua nini mwanamme anataka lakini dah!! wanawake Mungu anawaona lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanazimia, pressure daaah!
Nasikia ni kazi kwelikweli....wenyewe huwa wanasemaga!Huwa najiuliza kwani kutongoza ji kazi hvo eee
Ungetolea mifano baadhi ya sehemu kwa Hapa Tz ambako wadada Classy wanapatikana. ..tujifunze japo kwa macho.Haha halafu naona watu wanatiririka bila kuangalia aina ya wanawake wanaozungumziwa hapa!! Naona wavaa madera wameanza vidole juu!!