Kijana, fanya mambo hayo muhimu kuilinda afya yako

Umesomeka
 
Asante,,ila usinipangie matumiz ya mwili wangu
 
Hapa ni kweli aisee by professional vifaa vya ki electronic natumia kwa masaa 17 kila siku except jumamosi na jumapili tu labda ndio nitakuwa na simu kuanzia saa 3 asbh mpaka saa 8 usiku.

Kuhusu soda yaani hapo kwa wiki nakunywa kreti moja la soda na red bull 7-10 huko kwingine sipo kabisa. Ni vile tu maisha yametaka hivyo nawish by 2025 niwe Mkulima na Mfugaji kubadili life style yangu hasa kwenye kutumia electronics equipments.

Kuhusu energ drinks nitaanza kutumia alkasusu na Tangawizi vile vile kabla ya kula kitu nitakuwa nameza vitunguu swaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…