Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #81
Daaah mkuu nikwambie ukweli tuu..Hapa ni kweli aisee by professional vifaa vya ki electronic natumia kwa masaa 17 kila siku except jumamosi na jumapili tu labda ndio nitakuwa na simu kuanzia saa 3 asbh mpaka saa 8 usiku.
Kuhusu soda yaani hapo kwa wiki nakunywa kreti moja la soda na red bull 7-10 huko kwingine sipo kabisa. Ni vile tu maisha yametaka hivyo nawish by 2025 niwe Mkulima na Mfugaji kubadili life style yangu hasa kwenye kutumia electronics equipments.
Kuhusu energ drinks nitaanza kutumia alkasusu na Tangawizi vile vile kabla ya kula kitu nitakuwa nameza vitunguu swaumu
Sheeeenziii kabisa...toa Nyeto hapo
Ahahahaha sawa sawa mkuu mapema kabisa takua pm huko daahKaribu sana mkuu
Ni Mtihani kwakweliUzima na afya njema unatupa kiburi wanadamu unafanya tujione wenye haki na wale wagonjwa tunajiaminisha kuna mahala walikosea.
Bezo tatizo lako wee ufanyi mambo yawe complicated ahahaha hongera mkuu..Mimi nina mtoto wa nje ila sina mawazo mkuu. Huwa sijutii kuwa naye.
Mda bado unao mkuu amini kwamba ..Muda ulishanitupa mkono ,wacha liende ,tukijaaliwa tukutane palipo pumziko
Kwanza kabisa wewe ni hom boy..vipi sisi ambao tunakula vizuri then maji kwa wingi na mtungi juu ila no mademu wala sigara wala bangi naomba kujijua ,,,naomba ushauri mr ubongo dhaifu
Safi kabisa mkuu..Ujembu safi sana.
Mda bado unao mkuu amini kwamba ..
Acha acha acha kabisa
Wee ni miongoni mwa wazee wa hovyo kumbe πππππππππππππππππKuna wimbo unasema wakati hauniruhusu Mimi kufikilia madhambi utafute ,mule nimeimbwa Mimi mzee wa hovyo
Enzi zipi mdogo wangu ni mipombe na mademu imeuwa nuru yangu ukiniona kama zee la kwenda kumbe ni umri wa UVCCM kama Nape na MakambaWee ni miongoni mwa wazee wa hovyo kumbe πππππππππππππππππ
Inaelekea ulikua fire enzi hizo mkuu π π
Hapa sasa nina amani mkuu....π€π€π€πGood post
Acha sasa πππππππ...Enzi zipi mdogo wangu ni mipombe na mademu imeuwa nuru yangu ukiniona kama zee la kwenda kumbe ni umri wa UVCCM kama Nape na Makamba
Kwenye No ni No kweli japo siipendi hii hali maana ndiyo iliyonifanya niachwe kwa talaka na gumama watoto kisa kujiona mwamba kumbe msela mavi fulaniAcha sasa πππππππ...
Unaweza kuacha ukawa na life style flani hivi...
Tatizo unakuta wewe una mental.yako ambayo ukishasema NO ni NOO tuu
Usidhulum, usiibe usiuwe......hasara zake ni baadae sana au kwa uzao wako.Tafuta sana pesa fainali uzeeni lakini usidhulumu, kuiba, kuua, n.k
Daaah mkuu hiyo hatare sana aiseeee....Kwenye No ni No kweli japo siipendi hii hali maana ndiyo iliyonifanya niachwe kwa talaka na gumama watoto kisa kujiona mwamba kumbe msela mavi fulani