Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:-
1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia.
2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua visivyohamishika mfano (Kiwanja, nyumba, mashamba
Bali 3. Uwe mwaka wa kununua vyenye kukufanya mwenye furaha na mke wako na kujiridhisha nafsi yako mfano (gari nzuri ya kutembelea au pikipiki au hata baiskeli, pia nunua mavazi mazuri vaa pendeza, kama haukuwa na kitanda nunua na hata godoro usisahau simu nzuri ya kutumia. Maana huu ni mwaka wa uchaguzi huu ni mwaka mfupi huu ni mwaka wa kupendeza na kuvutia.
4. Kumbuka kuwa huu ni mwaka wa kisiasa, huu ni mwaka wa laia kunyenyekewa na viongozi wao, huu ni mwaka wako kijana kupanua biashara yako, pia ikifika mwezi Oktoba kumbuka kuchagua viongozi wenye weledi wa kutosha na wenye utimamu wa mali na kiakili,.
5. Kumbuka kuzingatia kanuni na sheria za usalama barabarani maana ni mwaka wenye uko na ajali nyingi.
6.
7.
8.
9. Mwisho huu ni mwaka wa kuthubutu usiache fulsa zikupite.
Jaribu kwenda hata mikoani angalia Fulsa za huko, lete hata kuku dar, au mbazi au hata chooko. Pia njoo dar chukua vitenge nenda navyo mikoa ya wasukuma jaribu na kuangalia mke huko huko mkoani na uoe.
Nb*
Namba 6,7,8 nimeruka kwa kuwa vijana wenyewe wanajuaga vile wanafanya unapoingia mwaka mpya.