Kijana investment ni muhimu sana hata kama itakupa shilling 500 iheshimu

Faida inapigwa kila mwezi halafu faida ya mwezi unaofuata inakuwa-calculated kutoka jumla ya uwekezaji plus faida ya mwezi uliopita kwahiyo faida itakuwa zaidi ya hizo ulizoainisha hapo. (Compound interest) Endapo hutatoa pesa.
 
Badala uwashauli vijana wafanye biashara za kuzalisha mali na mazao,mifugo na majengo wewe unataka akaweke pesa kwenye fuko la wajanja wakazungushie then waje wampe mabak
 
Yataka moyo kuwekeza milioni kumi halafu upate laki moja kwa mwezi ndiyo faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…