Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa .

Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake

Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose.

Usiogope competition (kushindanda) wewe shindana na hao wenye pesa

Ukisema unasubiria kupiga mpira uliyokufa ndo hawa singo mama na n.k so take care.

Mipira iliyokufa Ina-gharama zake so usijaribu.
 
Uko sahihi.
Mwanaume mwema usioe mwanamke juu ya umri wa miaka 25.

Maana wanawake wa aina hiyo huwa wanataka kuokolewa, watakubali kuolewa nawe kwasababu ya unachoprovide. Wasingekuchagua kama wangekuwa na umri chini ya hapo.

Mwanamke anayekupenda kuanzia miaka 18-24 kwa jinsi ulivyo muoe.

Pia kaa mbali na B2B midfielders.
Mchunguze, jua maisha yake ya nyuma, usimuoe bila kujua past yake. Past matters.
 
Ninyi watu haha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti mipira ilivyokufa umekua azizi ki

Na inafungika vzr tu
 
Duu!!! Nyie vijana B2B 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…