The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Upendo wa mama pia ni muhimu sana,Mungu hakukosea kutengeneza Unit kati ya mwanaume na mwanamke kisha watoto wapatikane.Vipi mtoto akiishi na baba tu?
Ushawahi kusikia mtoto anasema nitamwambia mama,alafu mwimgine hajui mama yake yuko wapi au baba yuko wapi.
Watoto wanajua baba au mama ndio kila kitu, mind you wakienda familia nyingine utasikia mama kanipa hiki au kile au baba did this and that alafu akivuta picha home mama au baba mmoja hayupo.Hapo mtoto anaumia sana,kuna siku akipata muda atauliza maswali mpaka utashangaa.