Kuna kitu kinaitwa the illusion of control.
Unaona una uwezo mkubwa wa kudhibiti mambo kuliko uhalisia.
Kinasumbua sana kwenye mahusiano, haswa kwa watu wajima....
Kukaguana simu, kufuatiliana sehemu mnazoenda, bikra, hofu ya mungu, kukwepa single mothers....
Hivi vitu vyote vinakufanya uone kama kuna njia fulani/vigezo flani vya kufanya mwenzi wako asichepuke lakini hapana, hilo jambo lipo juu yake 100%
Akiamua ataweza tu, haijalishi ni mtakatifu kiasi gani machoni pako.
Na pia mtu anaweza akakosa kabisa vigezo(sio bikra, single parent, mlevi, mcheza vikoba) na akawa muaminifu.
Tumia akili kijana, waza mbali. Kuna mambo hayaamuliki kirahisi.
View attachment 2994562