Usidanganyike.Duu tusioe above 25 tena hawa si ndio wana akili ya maisha
Mwanaume ni kiongozi , we ndo unapaswa kuwa na akili za maisha, na wewe ndo unapaswa umuelekeze mkeo kuhusu hilo. Mwanamke afuate your masculine frame. Kama mwanamke akikukataa kama kiongozi, na wewe umkatae kuwa mke wako. Achana na mawazo ya kifeminism.
Mwanamke above 25 katembea na wanaume zaidi ya moja, itakuwa vigumu kupair emotionally na wewe, na kama wewe ni mwema ndo kabisa atakuchukia , atakuona boring kwasababu tayari Alipair na wanaume waovu na anaona "uongo" kama amshaamsha.
Mwanamke wa miaka zaidi ya 25 hawana mapenzi ya kweli, wanawaza zaidi mahitaji yao yatimizwe, unaoa Mwanamke mwenye matatizo ambayo wewe hukusababisha, ana maumivu makali kiasi kwamba ata ufanyaje hawezi kupona, single moms ndo damaged women kuliko wote.
Oa mwanamke chini ya miaka 25 wakiwa katika kilele chao, ila hakikisha anakupenda kwanza, amevutiwa na wewe jinsi ulivyo, usimuache.