Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

Hizi ndio cyber bullying tunazoongea kila siku, it's not fair japo naamini single moms wameshaona ni kawaida sasa..

Let those without sin cast stones to single mothers.
 
Ukifulfill hypergamy hachepuki, ukiwa the best man as possible to her feelings.

Ila kwa hawa single moms, hypergamy tayari imesatisfy na ndo maana akazaa na mtoto.
Kuna kitu kinaitwa the illusion of control.

Unaona una uwezo mkubwa wa kudhibiti mambo kuliko uhalisia.

Kinasumbua sana kwenye mahusiano, haswa kwa watu wajima....
Kukaguana simu, kufuatiliana sehemu mnazoenda, bikra, hofu ya mungu, kukwepa single mothers....

Hivi vitu vyote vinakufanya uone kama kuna njia fulani/vigezo flani vya kufanya mwenzi wako asichepuke lakini hapana, hilo jambo lipo juu yake 100%

Akiamua ataweza tu, haijalishi ni mtakatifu kiasi gani machoni pako.

Na pia mtu anaweza akakosa kabisa vigezo(sio bikra, single parent, mlevi, mcheza vikoba) na akawa muaminifu.

Tumia akili kijana, waza mbali. Kuna mambo hayaamuliki kirahisi.
Screenshot_20240519-231743~2.png
 
Kuna wanaume humu isingekua baba zenu kuokota mipira iliyokufa msingezaliwa ila bado mnanyanyua midomo🤣

Yani kijana ana mama ake ambae kakulia kimboka hakuna fimbo haijui wakamzalisha wakamwacha. Bahati nzuri katokea mbaba wa watu akasema ngoja nibahatishe niweke ndani huyu huyu labda atatulia ukazaliwa wewe ambae humu ndani unaita single mothers takatakašŸ˜‚ bila mzee wa watu kumuonea huruma mama yako ungezaliwa na bata?

Wengine hapa ni product ya mchepuko na home wreckers mama zenu walikua ma secretary sijui ma housegal etc mmekuja kukutanishwa na baba zenu uzeeni nanyie bado mnatukana single moms.

Wengine baba zenu waliombwa utumie jina la ubini la watoto wake ambalo ni jina wanalotumia kaka au dada yako ili usijiskie vibaya ila kiuhalisia hapo sio kwenu wala hao sio ndugu zako wa damu . Saizi mnajifanya mna uchungu sana na single moms. Anza kutukana aliekuzaa tujue una maumivu kweli na hao single mothers mnaowaita mipira.

Wengine mlifichwa vijijini, mama zenu wakaja kudanga mjini ili wapate afadhali ya maisha na wengi wenu mmelelewa na mabibi ila tunawastahi. Tukisema turudishe matusi mnayotukana hapatakalika humu wengine tuna midomo itawaumiza balaa. Respect women atleast for once.

Wengine mnajigamba mko familia bora kumbe hapo sio kwenu! Baba yako alikutelekeza na alikukataa kata kata mama ako amegharamia na mwili wake apate mwanaume wa kukuita mwanangu na saizi mnatukana single moms?

Wengine dada zenu wamezalia nyumbani hamna hata pa kukanyaga na wanaume wote wamewakimbia ila mna uchungu na wanawake wa jamii forum tu?

Wengine mna mababa zaidi ya watatu hatuwataji. Ila mmekazana kutukana single mothers wa huku.

Wengine ni product ya mama yako na baba yake mzazi. Hao wa kwenu nao huwa mnawatukana hivi hivi au kwasababu sio mama zenu? Laana tupu ndo maana hamheshimu wanawake mna watukana kutwa. Sasa hii msg waonesheni mama zenu, nyie wanaume mnaotukana wanawake humu, wazisome au muwasomee kuna historia watawapa. Shameless men

Wengine hamuwajui baba zenu maana mama zenu walizidiwa na pombe vilabuni hawajui hata nani alimwingilia ukazaliwa wewe.

Wengine mnalelewa na mababa ambao sio wenu kwasababu baba yako mzazi ni mzoa taka mtaani mama yako akaenda kulengesha kwa mwalimu

Mtaendelea kutukana wanawake mitandaoni au tuendelee kufichua siri za mama zenu?
MUWE NA ADABU NA WANAWAKE. MAMA ZENU WAPO KWENYE KUNDI HILO HILO SO PUT SOME RESPECT
 
Kuna kitu kinaitwa the illusion of control.

Unaona una uwezo mkubwa wa kudhibiti mambo kuliko uhalisia.

Kinasumbua sana kwenye mahusiano, haswa kwa watu wajima....
Kukaguana simu, kufuatiliana sehemu mnazoenda, bikra, hofu ya mungu, kukwepa single mothers....

Hivi vitu vyote vinakufanya uone kama kuna njia fulani/vigezo flani vya kufanya mwenzi wako asichepuke lakini hapana, hilo jambo lipo juu yake 100%

Akiamua ataweza tu, haijalishi ni mtakatifu kiasi gani machoni pako.

Na pia mtu anaweza akakosa kabisa vigezo(sio bikra, single parent, mlevi, mcheza vikoba) na akawa muaminifu.

Tumia akili kijana, waza mbali. Kuna mambo hayaamuliki kirahisi.
View attachment 2994562
Hey I know who you are just by your typing.
If my conscience is correct, I am happy you are back. No need to tell people who you are.
 
Back
Top Bottom