Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Uzi ungetakiwa uwe pale juu, ili tuwe tunakumbushiana jinsi ya kula healthy foods, ukiangalia vijana wa Dar es salaam na wa mikoani wako tofauti sana miili yao, vijana wa Dar miili yao imejaa jaa ovyo,
Pia hawana ukakamavu kabisa

Unatusema Sana Mkuu πŸ˜€πŸ˜€.
Ila Fresh
 

Wakati umri huo 40+ ndio umri wa kufurahia maisha, alafu unakukuta katika hali ngumu ya Afya. Noma Sana. Asikuambie mtu
 

Ndio utapigiwa lakini Usiombe upigiwe alafu huna nguvu ya kiume, jaribu kuelewa Logic ya andiko.

Ukipigiwa ungali unanguvu unauwezo wa kuleta pisikali nyingi Kali zaidi ya huyo Mkeo ukaendelea na mambo mengine. Lakini ukiwa hauna nguvu za kiume alafu ukapigiwa huna ambalo utaweza kufanya zaidi ya kumnyenyekea Mwanamke asikutolee aibu zako za ndani.
Yaani utakuwa Mpole huku unatia huruma
 

Pole Sana Mkuu!
Mungu akusimamie na akupe nguvu ya kufuata sheria na kanuni za Afya ulizopewa.

Maana kisukari Kwa kubagua chakula sio mchezo, alafu Kwa umri huo bado unanguvu na hamu ya Kula na kuufurahisha mdomo.

Alafu madawa ya sukari wanayoyauza wanayauza bei kweli.
Hapo unachopaswa kujilinda ni kuhakikisha sukari na presha havipandi Sana ili kujiepusha na Stroke
 
Hili ni somo la Afya Mkuu, ili Mtu uwe na nguvu.
Mafunzo ya kugegeda yatakuja yenyewe ukiwa na nguvu na Afya njema
Sasa wenye kibamia kama mie hapa ambo tunaishi kumwaga wadhungu kwenye mapaja mnatusaidiaje...mjjue tunateseka sana
 
Ukipungukiwa na madini chuma mwilini unashauriwa ule nini ili kurudisha hali yako ya awali? Na dalili zake huwa ni nini unapoishiwa madini hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…