Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

@Kasie Toto la kinyamwezi [emoji7]
 
Kama ishu ni kugongewa mke kwa sababu ya mume kuwa na changamoto ya maradhi agongwe tu kwa uhuru, maana anaona ana kisingizio cha ugonjwa wa mume wake. Kwenye suala la kula hutokana na bajeti ya mtu pamoja na upatikanaji wa vyakula hivyo
 
Ni kweli kabisa mkuu usipokua na nidhamu ya kula na kunywa mbunye yako itapigwa tu hakuna namna
 
Una umri gani
 
Yote hayo hayawezi kuGuarantee chochote. Alipangalo Mungu litakuwa tu. Cha maana ni kuomba msaada na maongozi ya Mungu katika maisha yetu!

Mungu alikuwekea sahani mbili, Sahani ya uzima na sahani ya Mauti.
Wewe ndio utachagua sahani ipi itakufaa, uamuzi wako usije msingizia MUNGU.

Kumbukumbu la Torati 30:15
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;

Kumbukumbu la Torati 30:16
kwa hivi nikuagizavyo leo kumpenda BWANA, Mungu wako, kuenenda katika njia zake, na kushika maagizo yake, na amri zake, na hukumu zake, upate kuwa hai na kuongezeka; BWANA, Mungu wako, apate kukubarikia katika nchi uingiayo kuimiliki.

Kum 30:19​

Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako
 
Kama ishu ni kugongewa mke kwa sababu ya mume kuwa na changamoto ya maradhi agongwe tu kwa uhuru, maana anaona ana kisingizio cha ugonjwa wa mume wake. Kwenye suala la kula hutokana na bajeti ya mtu pamoja na upatikanaji wa vyakula hivyo

Sio kisingizio,
Wewe humtoshelezi Mkeo alafu akichepuka unaita kisingizio?😂😂 Labda Kama hujui majukumu ya Mume ndani ya familia.
Hiyo ni Haki yake ya msingi katika Ndoa.
Kushindwa kumtosheleza Mkeo kwenye 6*6 ni kosa kisheria, na hukumu yake ni Ndoa Kuvunjwa Kama Mke akitaka.

So usichukulie mambo haya kirahisi, ni magumu kuliko unavyofikiri
 
Hakuna anaeugua kisukari mwenye maisha magumu,huo ni ugonjwa kama una nafasi huna njaa njaa

Ndio unavyojidanganya😀😀

Wapo madaktari humu watakuona hamnazo ujue!
Wao ndio wanajua ninachokisema, na watu wenye umri Kati ya 40-100 ndio wanaelewa Kwa urahisi ninachokisema,

Na watu wenye wazazi wenye miaka 60-100 ndio wanajua kuwa kisukari ni ugonjwa wa masikini au wamatajiri au wawote.

Na wachache wenye upeo mkubwa wa kufikiri ndio wanaelewa niliyoandika
 
Huu ukurasa ni muhimu sana, kesho leta unaowahusu wale wa 50+ ni muhimu nao wastawi ili kuwa mentor vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…