Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Ukichapiwa Ukiwa na nguvu za kiume inauma,

Ila ukichapiwa huku ukitambua shida ni wewe kutomridhisha mke inauma zaidi

Na hauna uwezo wa kumfukuza na kumkemea hapo ndio shida huwa kubwa zaidi.
Yaani utakuwa unamnyenyekea Kama mungu mtu.
Kiburi na jeuri ya kiume yote hutokuwa nayo.

Kumkomesha kwamba ulete chombo kipya(uoe tena) huwezi kwani unaogopa aibu yako kujulikana. Yaani tabu tupu
 

Hapo mwanaume unakufa na mengi hasa Sonona na uchungu wa kuchapiwa.

Kuna mambo yasikie kwenye Luninga
 
Kisukari na Presha ni Silent Killers ni maradhi ambayo watu wanayo na wanatembea nayo wakizidiwa wanaenda kwa Waganga wa kienyeji na wanaambiwa kuwa wamelogwa na wenzi wao au wazazi wao.

Kinachofuatia ni Stroke au Kiharusi hapo ndio wanaambiwa kuwa ni mapepo mabaya yaliyotumwa na fulani

Wakati ni tembe tatu tu asubuhi zingeepusha yote hayo.
 
Ukichapiwa Ukiwa na nguvu za kiume inauma,

Ila ukichapiwa huku ukitambua shida ni wewe kutomridhisha mke inauma zaidi
Think again. Huja sikia mtu anasema mama fulani au baba fulani ' Umekosa nini kwangu?'. Hao Ndiyo wanaumia zaidi. Sababu pesa ipo, kitandani anatimiza wajibu wake but still....
 

Elimu duni kwenye jamii ndio husababisha hayo.

Imagine mtu anakuambia kisukari ni ugonjwa Wenye vipato, huoni hapo kuna shida.
 
kifupi kama una kazi inayokutoa jasho kisukari utakisikia tu,kama ni mtu wa ofcn mazoezi ni muhimu sana kama ulivosema.
 
Hiyo hata kwa mwanaume, haichagui. Tena kwa mwanaume ndiyo zaidi
 
Elimu duni kwenye jamii ndio husababisha hayo.

Imagine mtu anakuambia kisukari ni ugonjwa Wenye vipato, huoni hapo kuna shida.

Serikali kupitia asasi zake wangekuwa wanafanya awareness waweke maturubali kwenye maeneo mbalimbali ya Nchi watu wapimwe afya zao bure.

Watanzania tunakula sana chumvi kitu ambacho unakuta presha zetu ziko juu kila mara

Unakuta Wali unachumvi Mboga ina chumvi ukitumia na kachumbari ina chumvi hatari sana.
 

😀😀
Serikali! Serikali!
Umesema kweli, Watu wengi wanapenda Sana ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…