Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute ni weweIla mkuu unaongea kwa hisia sana! Kuna jamaa yangu ana mke bomba kweli kweli, sasa ana hiyo changamoto kweli mke amekuja kumfumania yuko na msela ameinamishwa! Mke huku nje analalamika mme ana kisukari shughuli hawezi tena sasa mimi ningefanyaje? Kazi kweli kweli!
Mungu hasaidii watu wajingaYote hayo hayawezi kuGuarantee chochote. Alipangalo Mungu litakuwa tu. Cha maana ni kuomba msaada na maongozi ya Mungu katika maisha yetu!
Ni kweli mkuu tutajitahidi kufanya pale ambapo uwezo wetu unaishiaBaada ya Uhai kuna kitu inaitwa Afya.
Ogopa kuwa hai pasipo Afya utajuta kuzaliwa.
Ukichapiwa Ukiwa na nguvu za kiume inauma,Unaweza kuchapiwa tu hata kama unafanya yote hayo
Ukichapiwa Ukiwa na nguvu za kiume inauma,
Ila ukichapiwa huku ukitambua shida ni wewe kutomridhisha mke inauma zaidi
Ila mkuu unaongea kwa hisia sana! Kuna jamaa yangu ana mke bomba kweli kweli, sasa ana hiyo changamoto kweli mke amekuja kumfumania yuko na msela ameinamishwa! Mke huku nje analalamika mme ana kisukari shughuli hawezi tena sasa mimi ningefanyaje? Kazi kweli kweli!
Think again. Huja sikia mtu anasema mama fulani au baba fulani ' Umekosa nini kwangu?'. Hao Ndiyo wanaumia zaidi. Sababu pesa ipo, kitandani anatimiza wajibu wake but still....Ukichapiwa Ukiwa na nguvu za kiume inauma,
Ila ukichapiwa huku ukitambua shida ni wewe kutomridhisha mke inauma zaidi
Kisukari na Presha ni Silent Killers ni maradhi ambayo watu wanayo na wanatembea nayo wakizidiwa wanaenda kwa Waganga wa kienyeji na wanaambiwa kuwa wamelogwa na wenzi wao au wazazi wao.
Kinachofuatia ni Stroke au Kiharusi hapo ndio wanaambiwa kuwa ni mapepo mabaya yaliyotumwa na fulani
Wakati ni tembe tatu tu asubuhi zingeepusha yote hayo.
Hapa dawa bwana Taikon ni kuoa lizee kama limama Dangote ukifikisha 40 lenyewe liko 70
#macron
Are you a human being?Watu wale majiiiii kufa kwaja tusife na kiuuu bora kufa na ngenye watakula sisimizi.View attachment 2319186
kifupi kama una kazi inayokutoa jasho kisukari utakisikia tu,kama ni mtu wa ofcn mazoezi ni muhimu sana kama ulivosema.Ndio unavyojidanganya😀😀
Wapo madaktari humu watakuona hamnazo ujue!
Wao ndio wanajua ninachokisema, na watu wenye umri Kati ya 40-100 ndio wanaelewa Kwa urahisi ninachokisema,
Na watu wenye wazazi wenye miaka 60-100 ndio wanajua kuwa kisukari ni ugonjwa wa masikini au wamatajiri au wawote.
Na wachache wenye upeo mkubwa wa kufikiri ndio wanaelewa niliyoandika
Hiyo hata kwa mwanaume, haichagui. Tena kwa mwanaume ndiyo zaidiAngalizo jingine kwa wanaume:
Mwanamke mwenye umri kuanzia 45 hadi 55 au 60 wenye afya na nguvu wanakuwa na ashiki kubwa sana ya kuingiliwa kimwili.
Sasa ambao wameoa na wake zao hawana stress kwenye umri huo watatoa ushahidi.
Ambao mko njiani kuelekea umri huo, get ready.
Na mwanamke akikoswa kukazwa vizuri, (labda awe mcha Mungu sana).
Atatafuta tuu wa kumkaza, Watch Out...[emoji102].
Elimu duni kwenye jamii ndio husababisha hayo.
Imagine mtu anakuambia kisukari ni ugonjwa Wenye vipato, huoni hapo kuna shida.
Serikali kupitia asasi zake wangekuwa wanafanya awareness waweke maturubali kwenye maeneo mbalimbali ya Nchi watu wapimwe afya zao bure.
Watanzania tunakula sana chumvi kitu ambacho unakuta presha zetu ziko juu kila mara
Unakuta Wali unachumvi Mboga ina chumvi ukitumia na kachumbari ina chumvi hatari sana.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
kifupi kama una kazi inayokutoa jasho kisukari utakisikia tu,kama ni mtu wa ofcn mazoezi ni muhimu sana kama ulivosema.