Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

dah hapo kwenye nguvu za kiume hapo ni hatari sana kwa kidume ukiwa na kuanzia 40yrs hata kimoko kinagoma, dah tumuombe sana Mungu atunusuru.

Ila kiukweli ukiwa na mke ambaye umeanza naye toka ukiwa na 30's huko na mambo yakagoma ukiwa na 50's kama anabusara anaweza kukustahi tu maana wote wazee sasa na tayari mna mitoto ya kutosha.

Shida ni hivi viberenge, kona goli, cross goli na kugongwa ndio maisha yao. Lakini kama umeoa gari la mkaa akili iko kwenye majukumu, malezi na future ya watoto mnazeeka vizuri tu na ni mwendo wa kazi kazi tu.
 
Umesahau kuwakumbusha kwenda kwa mwamposa jumapili
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Viberenge, Kona Hili, Cross goli au kapita kapenya, hao hawatakuelewa ng'oo.

Alafu wanawake hawanga Huruma hilo lifahamike mapema๐Ÿ˜€
 
Inafikirisha sana,ukose nguvu,halafu wadada wazuri hivi na ukute una mke Mzuri,unasaidiwa,hakika utakua na msongo wa mawazo sana,tuepuke hayo magonjwa kadri tutakavyoweza,kama yakitokea,iwe bahati mbaya tu.
Niliwahi kusikia bosi mmoja,hapa Mbulu,alikua na kisukari,mkewe alikua na kashfa ya kuleta vijana toka Arusha,analala nao,na mume hakuweza kumfukuza,bilashaka kwasababu alijua ana kisukari hivyo,akawa anavunga.R.I.P mzee.
 
Tena anakuwa na wivu wakati hana uwezo wakumfanyia chochote zaidi ya kumtizama kama anatizama kideo maana hawezi kumshika aliye ndani, ila sahizi ujanja ujanja mwingiiii
 
Sisi Wanaume tuna kazi kubwa wenzetu Wanawake wao ni kuitega tu.

Na trust me huwezi kumkomoa Mwanamke wewe ndio unajimaliza hilo tundu anatoka mtoto wewe utaliweza wapi.

Ndio maana Wanaume tunakufa kabla ya Wake zetu.
 
Tena anakuwa na wivu wakati hana uwezo wakumfanyia chochote zaidi ya kumtizama kama anatizama kideo maana hawezi kumshika aliye ndani, ila sahizi ujanja ujanja mwingiiii

Tatizo Vijana wa siku hizi hawataki kukaa na Wazee au watu wazima ili wajue mambo ya kikubwa.
Wajue wanapoelekea

Hapo anafikiri akikosa nguvu za kiume Kwa umri huo anadhani mkewe atamchekea na kumuonea huruma๐Ÿ˜€.

Yaani Mkeo akuonee huruma tangu miaka 40-60, labda awe Malaika huyo๐Ÿ˜‚
 
Sasa anamfumania nini ona aibu aliyopata angemsubilia aje kumuonyea nyumbani tatizo wanaume wengi wanakuwa wabishi sana hapo ukute anavyomfokea mkewe wakati shida ipp kwake
 
Sisi Wanaume tuna kazi kubwa wenzetu Wanawake wao ni kuitega tu.

Na trust me huwezi kumkomoa Mwanamke wewe ndio unajimaliza hilo tundu anatoka mtoto wewe utaliweza wapi.

Ndio maana Wanaume tunakufa kabla ya Wake zetu.

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ni kweli kabisa, yete atatega ili mwanaume utegue,
Sasa akutegee alafu uwezo wa kutegua huna. Jogoo hana nguvu, mbona utalia.
 
Unafanya tu kama ndugu zetu Wahindi kama Mwanamke bado ana umri wa kuzaa anamuita ndugu yake wa damu ili aendelee kuzalisha.
 
Ila

Mkuu bilakupiga miti Bora kufa tu
Kufa haufi ila cha moto tu lazima ukisikie , sasa ukute ulikuwa hujatulia kwa mkeo na vijembe nitaoa mke wa pili hapo sasa unafanyaje![emoji33][emoji33][emoji33]
 
Mkuu hii ni article nzuri sana je wanawake wanapata athari gani kama wanakunywa sana pombe hasa safari na k vant wataalamu wa mambo Watusaidie

Mwanamke hata kama Hana hisia za kufanya bado kazi yake ni ndogo Sana kwenye shughuli Ile, kazi yake ni kukutegea, kazi unayowewe ambaye mpaka isimame,

Kwa mwanamke atakachoambulia labda ni maumivu kutokana na kukosekana majimaji ya kulainisha njia.

Lakini pombe Kwa mwanamke haina shida sana hasa kwenye ishu ya Ngono, zaidi Sana ndio inafanya mwanamke awe na nyege zaidi ya kutaka kuingiliwa.

Mwanaume athari kubwa inatokana na uume kushindwa kusimama kabisa au kuwa legelege,
Mwanamke yeye Hana Jambo Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ