Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Asante kwa kutukumbusha mm nitazingatia haya uliyoyaeleza
 
Unakuta vyote hivyo hana lakini jeuri hapo anamtafutia mkewe shamba au bustani nyingine yeye apambane na hali yake
 
Mwambie huyo atakuwa labda ni wale wanaojivunia elimu na kazi anasahau wajibu kwa mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…