Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Kuna therapy na Vidonge vya stamina siku hizi ni hela yako tu.
Ndio hapo sasa mpaka uwe na hela,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna therapy na Vidonge vya stamina siku hizi ni hela yako tu.
Kumvumilia mtu aliyekuwa anajielewa , sasa ukute alikusumbua wee unamfanyaje huyo ???Hapo kwenye kuwavumilia ndo tatizo, mwili hautaruhusu. Ila hayo magonjwa noma sana
Kuna kisukari Cha kurithi!
Laa sivyo wewe na Mkeo mnakuwa kama Kaka na Dada.Ndio hapo sasa mpaka uwe na hela,
Asante kwa kutukumbusha mm nitazingatia haya uliyoyaelezaKwema Wakuu!
Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu.
Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu Kwa kutupa amri. HASHA! Bali ni Kwa faida yetu.
Kisukari na Presha sio magonjwa mazuri Kwa ustawi wa Ndoa zetu. Ukisikia pigo Baya basi ni kukosa nguvu za kiume. Tena Kwa miaka 40 Kwa mwanaume bado ni kijana. Na Kwa bahati nzuri miaka hiyo wengi neema ndio zinazidi kufunguka na wamesha-settle.
Sasa ume-settle alafu unajikuta huna nguvu za kiume. Asikuambie mtu inahuzunisha Sana..
Ukiona Taikon anaelezea Jambo Fulani basi kaa nalo macho, lizingatie Sana. Kwa sababu Taikon nipo kwaajili ya kujenga na wala sio kubomoa.
1. Kula na kunywa vizuri,
i. Kula Mbomboga Kwa wingi, Kula Protein Kama nyama nyeupe, maziwa, mayai, Kwa wingi,
Kula wanga kidogo Sana. Mfano unapoka maharage mengi alafu unakula na wali kidunchu, au ugali kidogo na Samaki au nyama au maharage mengi.
ii. Matunda, pendelea Kula matunda,
Kama umeoa, pendelea Ndizi zilizoiva angalau kila siku moja hasa usiku, hii itafanya uume wako kuwa na nguvu kutokana na madini ya Potassium,
Mkeo aweke Kachumburi yenye Nyanya, vitunguu, limao na pilipili hizi zinaongeza Libido.
Safisha figo Kwa Matikiti, matango, usisahau mapapai na maembe, pia machungwa huku utapata vitamini
Kula Milo miwili ukiwa age ya 25-50 iwe balanced.
iii. Kunywa maji mengi, angalau Lita mbili na nusu mpaka tatu na nusu Kwa siku.
Pombe kunywa kiasi Kwa STAREHE sio kujiumiza. Angalau kwa wiki mara moja na hakikisha usinywe mpaka ukazima.
Maji mengi ni dawa kwani yanafanya seli za mwili wako kufanya kazi Kwa ufanisi zaidi. Maji hupunguza pia sumu mwilini na kuufanya mwili wako kuwa na Nuru,
Yaani mtu anayezingatia kunywa maji ngozi yake hung'aa
Pia maji mengi husababisha mtu kutokuzeeka Kwa haraka. Na hii ni kutokana na Uzalishwaji wa seli za mwili kufanyika Kwa ufanisi
2. Fanya mazoezi,
Mazoezi hujenga mwili na kuufanya kuwa na Afya, kwani hufanya mzunguko WA damu kufanya kazi vizuri. Kumbuka Damu ndio hubeba virutubisho na kuvisafitisha mwilini. Kumbuka pia ndani ya damu ndio kuna Seli nyeupe zinazolinda mwili dhidi ya magonjwa, Seli nyekundu ambazo husafirisha hewa ya Oksijeni kuzipa Seli, tishu na ogani Uhai. Hasahasa Ubongo.
Hii ni kusema mazoezi yanaimarisha ufanyaji kazi WA viungo vya Mwili Kama vile Ubongo. Hii inafanya akili kuwa active.
Aina ya mazoezi
i. . Mazoezi ya Mwili
Haya yanalenga zaidi viungo na organ za mwili. Kukimbia, Push-up n.k.
ii. Mazoezi ya Akili/Ufahamu.
Haya yanalenga zaidi tafakuri, uchanganuzi, uchambuzi, n.k. haya ni Kwa kusoma Nyaraka na vitabu, michezo na Bangua bongo, Game zinazoshughulisha akili n.k.
Pia mazoezi ya ubongo hufanyika Kwa kujaribu kufanya vitu vipya ili kutafuta changamoto mpya. Kama ni biashara, au kazi au miradi unaanzisha ili akili ipate changamoto mpya.
iii. Mazoezi ya Kiroho na Nafsi.
Haya hulenga zaidi roho na Nafsi yako.
Kudhibiti Nafsi yako na matamanio yake, mfano Kufunga Kula na kunywa,
Kama unapenda kunywa pombe kujizuia kutokunywa Kwa muda wa siku kadhaa.
Kama unapenda Kulala na wanawake, kujizuia hata Kwa miezi sita bila kuchepuka, hayo ni mazoezi ya kiroho na nafsi.
Pia kutoa Zaka au Sadaka Ile inayouma. Ni zoezi la Nafsi au kiroho.
Hii itakusaidia kujidhibiti, pia kuzuia Nyege mshindo au ukosefu wa maamuzi.
3. Mapumziko na Burudani/STAREHE.
Angalau Kwa siku ulale masaa yasiyopungua Nane.
Starehe au burudani angalau Kwa wiki au Kwa mwezi mara moja. Hii itakufanya usiyachoke maisha na kuyaona hayana maana.
Usingizi utakusaidia kutunza Ubongo wako na hii itakusaidia nyakati za uzeeni kwani utakuwa haupotezi kumbukumbu kijinga jinga.
Kabla watu hawajaona uzee wako wewe mwenyewe utaanza kuuona Kwanza Kwa kujikuta unasahau sahau mambo, na hiyo huanza kutokea miaka 30+ kama hutokuwa mtu wa kuzingatia mapumziko.
Kijana wa sasa unapaswa ujidhibiti mwenyewe ili isijekula kwako ufikishapo miaka 40.
Hakuna kitu kibaya Kama kufikisha umri huo yaani 40+ alafu ujikute hauna pesa, alafu magonjwa Kama kisukari na Presha vikupige. Ni hatari Sana.
Kupigiwa nje nje! Yaani mwanamke wako wala hatakuwa na Woga, nawe utakuwa unajua na chakumfanya hauna.
Wale mnaolalamika andiko refu nimewasikia. Nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kumvumilia mtu aliyekuwa anajielewa , sasa ukute alikusumbua wee unamfanyaje huyo ???
Unakuta vyote hivyo hana lakini jeuri hapo anamtafutia mkewe shamba au bustani nyingine yeye apambane na hali yakeWengi hawatakuelewa, Ila hili nililifanyia utafiti nikabaini ni moja ya sababu ya ndoa nyingi kuvunjika siku hizi.
Unakuta mume 48yrs anakisukari au presha, mke 43yrs ndio Kwanza Mafuta ya Mwili yanataka kupashwa Moto alafu mume uwezo Hana. Hapo ndipo kilio Kwa wanaume tunakipata. Automatic unaona Mkeo/wamama wajeuri kumbe hawatimiziwi haja,
Mwanamke kikawaida hawezi kumvumilia mwanaume asiyemfikisha hata angekuwa Tajiri Kama Elon musk.
Vijana tunapaswa kujipanga Kwa Mengi.
Laa sivyo wewe na Mkeo mnakuwa kama Kaka na Dada.
Unakuta vyote hivyo hana lakini jeuri hapo anamtafutia mkewe shamba au bustani nyingine yeye apambane na hali yake
Lakini siku hizi kuna Vibrators zinamtoa nyege zote.Kama mlikuwa mmefundwa ndio haina namna itabidi Mkeo akuheshimu (aende akafanyie uchafu mbali)
Tutazikwa kwenye jeneza au mkeka ,acha hofu lazima ufe Hilo tu linatosha kingine Fanya mambo Yako Kwa uhuru na usije kufa kama mwaccm Hilo muhimu sanaShida sio kuzikwa, shida IPO tutazikwaje?
Kabla hatujafa nini kitatokea.
Mwambie huyo atakuwa labda ni wale wanaojivunia elimu na kazi anasahau wajibu kwa mkeweSio kisingizio,
Wewe humtoshelezi Mkeo alafu akichepuka unaita kisingizio?[emoji23][emoji23] Labda Kama hujui majukumu ya Mume ndani ya familia.
Hiyo ni Haki yake ya msingi katika Ndoa.
Kushindwa kumtosheleza Mkeo kwenye 6*6 ni kosa kisheria, na hukumu yake ni Ndoa Kuvunjwa Kama Mke akitaka.
So usichukulie mambo haya kirahisi, ni magumu kuliko unavyofikiri
Una kilo ngapi?Daah afadhari maana nna 36yrs now ila bado naona damu inachemka balaa na huu ushauri umekuja muda muafaka wacha nianze kubalance kuanzia sasa
Huu upuuzi unawazwaga Sana nawafuasi wamnyaazi munguLakini wote tutazikwa chini
Wewe upo wapi wanaumwa mpaka watoto sembuse kapuku?Hakuna anaeugua kisukari mwenye maisha magumu,huo ni ugonjwa kama una nafasi huna njaa njaa