Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Chini ya 50KG no stressUna kilo ngapi?
Hivi kuna bata gani kwenye hii dunia inazidi kvtomba aisee?Miaka 40 ni ya kula bata sio kufanya mapenzi
Moja ya Wazazi wako ana Mtibwa Sugar.Chini ya 50KG no stress
Mama mzazi kafariki 1992 kwa kansa ya Nyonyo, Baba mzazi kafariki 1996 baada ya kufanyiwa umafiaMoja ya Wazazi wako ana Mtibwa Sugar.
Uko salama, piga tizi hata saa moja kwa siku jichunge na Chips yai.Mama mzazi kafariki 1992 kwa kansa ya Nyonyo, Baba mzazi kafariki 1996 baada ya kufanyiwa umafia
Pamoja sana mkuuUko salama, piga tizi hata saa moja kwa siku jichunge na Chips yai.
Duu[emoji56]Laa sivyo wewe na Mkeo mnakuwa kama Kaka na Dada.
umezingua nimecheka mnooo!! Hapa ndio wale Ottu Jazz Band wanapokuja na Wimbo Wao! Wanaume Tumeumbwa Mateso, Mateso Mateso Kuhangaika.Koh! Koh! Jeeeeshi!!
Lakini ujumbe umefika kwa wengineUkute ni wewe
Hakuna namna, ndo muda wa kulipizaKumvumilia mtu aliyekuwa anajielewa , sasa ukute alikusumbua wee unamfanyaje huyo ???
Usijibane sana wala kujiachia sana![emoji3][emoji3]
Ndio maisha Mkuu!
Usijibane Sana na wala usijiachie Sana.
Nashukuru Sana Mkuu
Uwe sasa unamheshimu au kipindi upo juu unampiga tu matukio ya haja , mnyanyasaji [emoji47][emoji47] hapo sijui inakuwaje boss.dah hapo kwenye nguvu za kiume hapo ni hatari sana kwa kidume ukiwa na kuanzia 40yrs hata kimoko kinagoma, dah tumuombe sana Mungu atunusuru.
Ila kiukweli ukiwa na mke ambaye umeanza naye toka ukiwa na 30's huko na mambo yakagoma ukiwa na 50's kama anabusara anaweza kukustahi tu maana wote wazee sasa na tayari mna mitoto ya kutosha.
Shida ni hivi viberenge, kona goli, cross goli na kugongwa ndio maisha yao. Lakini kama umeoa gari la mkaa akili iko kwenye majukumu, malezi na future ya watoto mnazeeka vizuri tu na ni mwendo wa kazi kazi tu.
Na wao wakipigwa na Kisukari na Presha hamu huwa inatoweka.😂😂😂
Viberenge, Kona Hili, Cross goli au kapita kapenya, hao hawatakuelewa ng'oo.
Alafu wanawake hawanga Huruma hilo lifahamike mapema😀
Hiyo yakutokuwa na huruma umewasingizia kabisa, huruma anza kujionea mwenyewe kabla ya mkeo. Usilete ujanja ujanja sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Viberenge, Kona Hili, Cross goli au kapita kapenya, hao hawatakuelewa ng'oo.
Alafu wanawake hawanga Huruma hilo lifahamike mapema[emoji3]
Kuna wanaume unaweza mkuta ana hata 35-45 lakini vitu afanyavyo unajiuliza sana huyu alitoka familia ya aina gani maana akili zake kama mwenye 20-25 tulio wazazi tulee watoto wakiume ili waje kuwa waume bora si bora mmeTatizo Vijana wa siku hizi hawataki kukaa na Wazee au watu wazima ili wajue mambo ya kikubwa.
Wajue wanapoelekea
Hapo anafikiri akikosa nguvu za kiume Kwa umri huo anadhani mkewe atamchekea na kumuonea huruma[emoji3].
Yaani Mkeo akuonee huruma tangu miaka 40-60, labda awe Malaika huyo[emoji23]
Jogoo anajificha kwenye mabawa badala yakukimbiza mtetea ha ha ha ,e ee Mungu tusaidie kwakweli.[emoji3][emoji3]
Ni kweli kabisa, yete atatega ili mwanaume utegue,
Sasa akutegee alafu uwezo wa kutegua huna. Jogoo hana nguvu, mbona utalia.