Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

dah hapo kwenye nguvu za kiume hapo ni hatari sana kwa kidume ukiwa na kuanzia 40yrs hata kimoko kinagoma, dah tumuombe sana Mungu atunusuru.

Ila kiukweli ukiwa na mke ambaye umeanza naye toka ukiwa na 30's huko na mambo yakagoma ukiwa na 50's kama anabusara anaweza kukustahi tu maana wote wazee sasa na tayari mna mitoto ya kutosha.

Shida ni hivi viberenge, kona goli, cross goli na kugongwa ndio maisha yao. Lakini kama umeoa gari la mkaa akili iko kwenye majukumu, malezi na future ya watoto mnazeeka vizuri tu na ni mwendo wa kazi kazi tu.
Uwe sasa unamheshimu au kipindi upo juu unampiga tu matukio ya haja , mnyanyasaji [emoji47][emoji47] hapo sijui inakuwaje boss.
 
😂😂😂
Viberenge, Kona Hili, Cross goli au kapita kapenya, hao hawatakuelewa ng'oo.

Alafu wanawake hawanga Huruma hilo lifahamike mapema😀
Na wao wakipigwa na Kisukari na Presha hamu huwa inatoweka.

Unaweza kuwa wewe unashughulika yeye anachati na simu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Viberenge, Kona Hili, Cross goli au kapita kapenya, hao hawatakuelewa ng'oo.

Alafu wanawake hawanga Huruma hilo lifahamike mapema[emoji3]
Hiyo yakutokuwa na huruma umewasingizia kabisa, huruma anza kujionea mwenyewe kabla ya mkeo. Usilete ujanja ujanja sasa
 
Tatizo Vijana wa siku hizi hawataki kukaa na Wazee au watu wazima ili wajue mambo ya kikubwa.
Wajue wanapoelekea

Hapo anafikiri akikosa nguvu za kiume Kwa umri huo anadhani mkewe atamchekea na kumuonea huruma[emoji3].

Yaani Mkeo akuonee huruma tangu miaka 40-60, labda awe Malaika huyo[emoji23]
Kuna wanaume unaweza mkuta ana hata 35-45 lakini vitu afanyavyo unajiuliza sana huyu alitoka familia ya aina gani maana akili zake kama mwenye 20-25 tulio wazazi tulee watoto wakiume ili waje kuwa waume bora si bora mme
 
[emoji3][emoji3]
Ni kweli kabisa, yete atatega ili mwanaume utegue,
Sasa akutegee alafu uwezo wa kutegua huna. Jogoo hana nguvu, mbona utalia.
Jogoo anajificha kwenye mabawa badala yakukimbiza mtetea ha ha ha ,e ee Mungu tusaidie kwakweli.
 
Back
Top Bottom