Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kama kuna mtu kamzidi mke wake nusu ya umri wake, akila vizuri na kuepuka vyakula hatari kwa afya yake huyo mke akichepuka atasingizia nini wakati mume weke aliyemzidi umri mkubwa anampa shoo ya kueleweka? By the way ndoa zina changamoto nyingi kama hiyo ya kushindwa kupafomu kisawasawa. Lakini kuna ndoa zina umri mkumbwa kama miaka hamsini na hazijavunjika, siri ni nini? Kwa hiyo ndoa inaweza kudumu miaka michache na ikasambaratika kutokana na shoo tu, si bora mtu uishi maisha ya ubachela tu kama hali yenyewe ni kuja kuachwa
 
Angalizo jingine kwa wanaume:
Mwanamke mwenye umri kuanzia 45 hadi 55 au 60 wenye afya na nguvu wanakuwa na ashiki kubwa sana ya kuingiliwa kimwili.

Sasa ambao wameoa na wake zao hawana stress kwenye umri huo watatoa ushahidi.

Ambao mko njiani kuelekea umri huo, get ready.
Na mwanamke akikoswa kukazwa vizuri, (labda awe mcha Mungu sana).

Atatafuta tuu wa kumkaza, Watch Out...👀.
Mi ilianza 30 aisee, napenda huu mchezo mpaka nafadhaika.Je nimewahi mno😥
 
Kuna kuwa na hisia lakini ukashindwa kufanya, hapa inawezekana ukachezewachezewa nawe ukachezea chezea inaweza kuwa fantacy pia.

Kuna kutokuwa na hisia kabisa ~ hii nayo inaweza isiwe issue maana huna hisia na wala hufikirii chochote kuhusu kugonga.

Naamini mwenyezi Mungu ana makusudi yake kwenye kila jambo, ila tumuombe atupe vile ambavyo ni bora zaidi.
 
Hapa kwenyewe nina miaka 28 nina show mbovu kabisa haijawahi tokea tangu dunia iumbwe nimeshaachwa na Wanawake kama 5 hivi,nikifika miaka 40 si ndio balaa ilo.
Uzuri kiuchumi nipo vzr acha niendelee kugonga vyombo kwa kwenda mbele nguvu kizibo hata pombe nisinywe kweli ? nimeshakuwa chronic kwa kuachwa nimeshazoea
 
Pamoja sanaa mkuu...somo zurii...umetumia njia nzur kuufikisha ujumbe wako.....upo kweny mfumo wa taarifa lkn pia kama onyo...kongole kwako
 
Ngono inapigiwa chapuo sana, halafu muhanga eti mwanamme tu….. utafikiri wanawake hayo maradhi hayawahusu.

Hii ndo sababu maisha ya mwanamme yamejaa mateso, na kufa mapema ni stahiki yake….. mke ana miaka 50 eti bado niwaze kuchapiwa hell NO!!!
 
Dawa ya yote hayo ni katiba mpya tu haiwezekani watu wawe wanakula hadi mara saba kwa siku, nchi hii uhuru umezidi, haiwezekani unapiga punyeto muda wowote lazima katiba ifafanue yote
 
Back
Top Bottom