Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #361
Shukran mkuu
Barikiwa Sana Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran mkuu
Huyo babu yako hamna kitu akapumzike,amwachie kijana awaletee wakenya maendeleo [emoji23][emoji23]
Mtindo wa maisha gani ndio unafanya seli ziwe sugu kwa insulin ?Mtindo mbaya wa maisha hupelekea seli za mwili kujenga usugu wa insulin...yaani insulin resistance.
Hii hupelekea kisukari kwa vile unakula sukari ubongo unatoa maelekezo kuwa insulin izalishwe kuzipa signal seli za mwili kutumia sukari hiyo.
kwa vile seli zimejenga usugu dhidi ya insulin basi zinagoma kuitumia ile sukari, na matokeo yake sukari inakuwa nyingi kwenye damu. Mwili unazidi kuzalisha insulin zaidi kuzishinikiza seli kutumia sukari ambayo hupelekea hyperinsulinemia.
ili kukunusuru mwili hukufanya uhisi kiu kikali ili unywe maji na kuikojoa ile sukari iliyogomewa na seli za mwili...Ndiyo maana diabetics wengi huwa na hii dalili ya kiu kikali.
Ubongo hutafsiri kuwa mtu huyo hajala kwa vile seli zake zimeshindwa ku metabolize sukari...kitendo ambacho hufanya Ubongo utoe maelekezo ya kuzalishwa homoni ya kukufanya uhisi njaa ilihali umetoka kula muda si mrefu.
Hicho ndiyo kisukari kiletwacho na usugu wa seli dhidi ya insulin na si aina ile ya kisukari kijacho kwa kongosho kushindwa kuzalisha insulin ya kutosha.
Mtindo wa maisha gani ndio unafanya seli ziwe sugu kwa insulin ?
Tafadhali usinieleze details za symptoms za kisukari, kiu, kukojoa, ubongo umesema hivi njaa ikafanya vile... please!
Just answer the question.
Nimepitia hiyo article. Inasema hivi:![]()
Insulin Resistance & Prediabetes - NIDDK
Learn about the causes of insulin resistance and prediabetes, how prediabetes is diagnosed, and steps you can take to help prevent or reverse these conditions.www.niddk.nih.gov
pitia hiyo article.
Hapa dawa bwana Taikon ni kuoa lizee kama limama Dangote ukifikisha 40 lenyewe liko 70
#macron
Utakuwa unaumwa wewe, una kilo Kama za kuku?Chini ya 50KG no stress
Umri unakusumbua...tukio 40+ tunajua hayo,ni fedhehaLakini wote tutazikwa chini
Bata bila mapenzi mzee..??. Msosi bila chumvi...[emoji1][emoji1][emoji1]....Miaka 40 ni ya kula bata sio kufanya mapenzi
[emoji38][emoji38][emoji38]...mkuu huu ni ufalaa...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukifariki na mwili ulionona hata mchwa wanakuombea thawabu zikutangulie huko uendapo.
Kwa hiyo upo kwenye kilele Cha mwili kukunyevuanyevua...???[emoji18][emoji18]
Pimwa upone......kwakweli hii ni dawa but c rahisi kuipokea
Hapana, ni aina ya maisha niliyokulia(nimekulia maisha ya shida na ni mtu mwenye mawazo sana ninapokuwa peke yangu), pia kiumbo ni mwembamba na ni mfupi 5.3' sikumbuki mara ya mwisho kuugua ilikuwa lini na juzi nimefanya chekup npo okUtakuwa unaumwa wewe, una kilo Kama za kuku?
Aisee Mimi Nina miaka 53 imetokea mwaka Jana nikiwa na 53 nikapata mtoto watu wengi wamenishangaa sana lakini kiikweli Niko vzr kama kijana tu kwa mambo hayo na namshukuru Mungu.Changamoto itakuja labda kwenye malezi.He unadhani asilimia kubwa ya vijana wa sawa hivi wakifikia umri wangu wayayaweza hayo?...Na mtoto amechangamka kweli na namuona ana utambuzi kwa kiwango cha juu.Nampenda na kumtunza mfano lishe nzur ! Unga wa mbegu za maboga n.k.Kaka ubarikiwe sana kwa andiko hili. Watakaobahatika kusoma mpaka mwisho wakazingatia, hakika watafadika. Mimi ni shuhuda wa hili.
Niko 55, nilipokuwa 40 niliyumba kidogo performance yangu ya ndoa haikuwa nzuri kiviiile kwa sababu ya pombe nyingi na kubugia misisi bila utaratibu.
Ilipogonga 50 nikapunguza na 53 nikaacha kabisa pombe na kula bila mpangilio na nikawekeza sana pia katika shughuli za kiroho. Kwa kweli niko supa mpaka mwenza wangu ananishangaa.
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
We jamaa uko serious kweli Mimi Nina 53 nategemea kustaafu kwa hiari in the next two yrs we unasema 40 sio ya kufanya mapenzi.Wataalam wanasema ukifikisha miaka 41+ Libido inaongezeka.angalia sana life style ktk ujana wako na ndio hiyo itaamua uzee wako unakuwa je!Miaka 40 ni ya kula bata sio kufanya mapenzi
Alikupa fact!!!!Mzee mmoja aliwahi nambia; haya maisha ukishindwa kujidhibiti kufa mapema ni must
Utakapofikisha 41+ mshumaa utawaka zaidi unaweza tamani kuoa mke wa pili.Nina 53 nilipitia huko!!!!Daah afadhari maana nna 36yrs now ila bado naona damu inachemka balaa na huu ushauri umekuja muda muafaka wacha nianze kubalance kuanzia sasa
Nimeanza utaratibu wa kunywa maji robo lita ninapoamka, pia nina utaratibu wa kutumia asali na kula matunda kwa ajiri ya kuboresha afya yanguUtakapofikisha 41+ mshumaa utawaka zaidi unaweza tamani kuoa mke wa pili.Nina 53 nilipitia huko!!!!