Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kupenda kufakamia kila kitu ndo chanzo cha matatizo,, tujifunze kuwa na kiasi,, unaenda mnadani unawakuta wadada na wababa, wenye vitambi, wanafakamia mamishikaki, kuku choma, chipsi mayai, michemsho kama hayana akili nzuri,, unabaki kusikitika tu, hivi hawa, hayA ni mashikolo mageni au ulafi😂😂
 
Ila mishikaki na vigondi vitamu tuache masikhara
 
Hili andiko ni zuri sana na bora kabisa .lilipaswa liwekwe hapo juu muda wote bila kuondolewa ili tuwe tunalisoma muda wote.
 
Ukipigwa na kisukari na presha, watoto wa elfu mbili utawaona kama kituo cha polisi walahi.
 
Ahsante mkuu kwa ushauri

Ila nimeipenda hii kula mchemsho na chukuchuku mpaka ulie na nyege mshindo

👆🤣🤣🤣
 
Kupenda kufakamia kila kitu ndo chanzo cha matatizo,, tujifunze kuwa na kiasi,, unaenda mnadani unawakuta wadada na wababa, wenye vitambi, wanafakamia mamishikaki, kuku choma, chipsi mayai, michemsho kama hayana akili nzuri,, unabaki kusikitika tu, hivi hawa, hayA ni mashikolo mageni au ulafi😂😂
mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa nikifikiri wa2 wenye vitambi wameshiba!!
 
Back
Top Bottom