Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika.
Huyu ni mtu ambaye anaheshimiwa na kila mtu. Ni kijana serious sana na mwenye imani. Hivyo tumuombee John Msika asipate vishawishi maana demokrasia yetu na nchi hii ana mchango mkubwa kuliko watu wanavyo elewa.
Kuna kundi ambalo kina pesa sana linataka nchi yetu iwe nchi ya mafisadi , familia na machawa na Chadema ni chama muhimu sana ambacho kinatakiwa kuamsha dude ili nchi ibadilishe mwelekeo.
John Mnyika atasaidia sana kwenye mchakato huu. Kuna fungu kubwa nasikia na kuhonga wajumbe linatoka CCM sasa tuombe wajumbe wa Chadema wachague nchi sio pesa ya supu