Kijana kama huna uwezo wa kuhudumia familia usioe

Kuna mmoja nipo naye Kwa group fulan katuambia yeye alioa akiwa chuo mwaka wa kwanza akiwa na miaka 22 aliishi Kwa tabu na mke wake had kula ilikua ni ya tabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ halaf et baadaye baada ya kumaliza chuo akapata kibarua ndo maisha kidogo afadhal et alikua anatusii wakuoa waoe na kuolewa maisha ndo hayahayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nilitaman nimtusi
 
Bila Shaka utakua wewe ni mzinzi saaana au unatetea uzinzi, saivi wazinzi mmekua wengi ndomaana ndoa sio kipaumbele chenu
 
Maisha from zero to hero usitukatishe tamaaaa
 
Bila Shaka utakua wewe ni mzinzi saaana au unatetea uzinzi, saivi wazinzi mmekua wengi ndomaana ndoa sio kipaumbele chenu
Kwaiyo mtu kukataa ndoa ni mzinzi?? Shame on u?
Wewe ni mtakatifu sana sio? Acha kuhukumu watu ilihali wewe mwenyewe mtenda zambi halafu usikalili hakuna anayeeleza maisha yake humu so hujui kama Nina ndoa au laah acha mihemuko na mitandao ya kijamii
 
Maisha ya tabu, utalelea watoto mpaka wakue ushazeeka ,hauwezi kula bata tena ...

Mimi nishamaliza kila kitu ikiwa ni pamoja na kujenga makazi ,kilichobaku kuoa tu Mwaka huu inshallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…