Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ukioa utakuwa unafanya kila kitu kwa kiasi hasa unywaji wa pombeKwahiyo inakupasa uoe ndo ule bia sio?
Boss wetu anatupambania Sana. Hongera kwake.
Ni kweli kabisa ila ndio hivyo kijana bachela mwenye stress hawezi kunywa kiwango kinachotakiwa suluhu nikuacha kunywa pombeVyanzo umevitaja unahisi itakua rahisi kwao kuviacha, ishauri serikali kupunguza kero za wananchi zinazosababisha ugumu wa maisha na kuongeza stress kwa vijana mpaka kuingia katika makundi mbalimbali ya kiuharifu, ulevi, mihadarati nk
Punguza kimoja bas mkuuPombe na Bangi huwa zinasingiziwa vitu vingi sana, hao vijana mnaowazungumzia muwe mnapata wasaa wa kuwapima afya zao za akili kabla ya kuja na conclusive opinions.
Halafu huwa sijui mnapima mafanikio ya mtu kwa mizania gani, mwingine kufanikiwa kuwa hai tu ni mafanikio makubwa sana kwake
NB: Natumia Pombe, Bangi (mara kadhaaa), ila ni bachelor sugu pia.
Vyote vina nafasi na umuhimu kwenye maisha yangu, cha kupunguza sioni honestlyPunguza kimoja bas mkuu
Kwa hiyo hayo uliyoyataja ni mazuri kwa waliooa? Hivi unajua mwezi uliopita serikali imeingia zaidi ya billion 700 kama mapato kutokana na kubeti? Je unataka vijana wasiwe sehemu ya kuchangia mapato ya serikali yao na kudumaza utoaji wa huduma na wasiwe na nafasi ya kupaza sauti pale serikali inapozembea kusimamia ugawanyaji wa huduma muhimu kutokana na mapato? Jambo uliloliongea lina effect kubwa kwenye jamii.Starehe za pombe na kubeti sio nzuri kwa vijana ambao ni bachela