Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Mkuu umeongea kitu cha ukweli mtupu!! hili lina ushahidi nalo kwa 100% kabisaa!! ukimpenda sana harafu akajua kuwa unampenda dharau zinaanza harafu anakuchukulia poa sana!!! nimeanza kulifanyia kazi kwa ubora zaidi
 

Yah sure ww jaribu fanya tathmin wanawake uliowapa sana muda wako sana je waliendelea kukupenda?
 

Mkuu big up sana, wewe unaielewa hii game vilivyo. Mimi binafsi tangu nimeujua mchezo sijawai hangaika na mwanamke yaani ulivyoeleza ndio hivyo hivyo! Wiki hii nilikua na miadi na wanawake wanne yaani mmoja anataka jumatano, mwingine alhamisi, mwingine ijumaa na mwingine leo! Nikaona wataniua nimekula mmoja alhamisi wengine nimewapotezea ntawapangia ratiba next week huko. Na hao wote hakuna anaepata senti tano yangu na nachat nao mda nikipenda.
 
Kwamba mwanamke akijua una wanawake wengine unawasiliana nao atazidisha mapenzi....teh
Cc
Eva wa Adam
Delila wa Samson

Kwa mwanamke utabisha sana lakini hii kitu hua ipo kwenye subconsious mind zenu nadhani hata nyie wenyewe hamjui kwanini. Ni kama sisi tunavyopenda makalio, ukiniuliza kwenye makalio napenda nini hasa sina jibu.
 
Kwa mwanamke utabisha sana lakini hii kitu hua ipo kwenye subconsious mind zenu nadhani hata nyie wenyewe hamjui kwanini. Ni kama sisi tunavyopenda makalio, ukiniuliza kwenye makalio napenda nini hasa sina jibu.
Wala sijabisha hii kitu ni kweli kabisa, make hata kwetu inafanya kazi vema
 
Hujiamini tu wewe hata ukiwa na kumi mmoja akikuacha na wote wanakula corner na hata ukiwa na wengi full stress tu.jifunze kujipa furaha mwenyewe na sio kutegemea watu moyo wako utakuwa na amani

Hapa hatuongelei swala la kutafuta furaha, tunachoongelea ni jinsi ya ku manage relationship na kupunguza msongo wa mawazo na matatizo yanayoepukika. Lakini pia tunaongelea jinsi ya ku maintain rship iweze kudumu muda mrefu bila migogoro.
 
Wala sijabisha hii kitu ni kweli kabisa, make hata kwetu inafanya kazi vema

You are very right. Infact, watu wengi hawajui kwamba wanawake hua ndio wakwanza kuanza kukinai wapenzi wao.

Mimi nimekutana na wadada ambao wako kwenye very stable rships, mdada anakuambia "kwakweli jamaa ananipenda, ananipa kila kitu, kitandani ananiridhisha, hajawahi kunikosea chochote, ila i dont feel anything anymore yani nimemkinai tu.."
 
Kwahio unaamini kabisa wote wanakusubiri hadi uwapangie??

no wonder umeme hautakaa uishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…