Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Ulichosema ni ukweli mtupu, mwanamke akiwa your only provider of sex lazima atake kukutawala tofauti akijua nje kuna ushindani, heshima fulani inakuwepo.

Nawashangaa wanawake wanaokupinga wakati wanaujua huu ukweli, mfano rahisi ni mrembo yeyote mwenye jina kwenye hii forum( MMU), utakuta PM yake imejaa mitongozo na bado kitaa, that's what we call having options na inakupa kakiburi fulani au confidence kwenye mahusiano coz unajua huyu akizungua kuna wengine kwenye foleni kwa iyo hauna cha kupoteza.
 
Hili wazaramo tulishaliona siku nyingi ndo maana tunafundwa mafiga matatu ndoo na kidumu...ndoo ikimwagika kidumu kitasaidia hata kuosha miguu ulale.
Na ndo huwezi kukuta mzaramo kajinyonga kisa mapenzi...
Duuu wazaramo mna balaaa
 
Vipi Mkuu, demu akijua/akihisi kwamba una wanawake nje nae akaanza kumegwa kisela, je itafanya mahusiano yadumu ?
 
Kwahio unamaanisha ukiwa na mke mna migogoro ya kukuona wewe sio muaminifu ndio vizuri?

Halafu umuoneshe kua wewe sio muaminifu akae tu ka boya anakusubiri ukamalize mambo yako.Jua na yeye ataanza kukupiga matukio tu mwisho mnaachana.
 
Kwahio unamaanisha ukiwa na mke mna migogoro ya kukuona wewe sio muaminifu ndio mazuri?

Halafu umuoneshe kua wewe sio muaminifu akae tu ka boya anakusubiri ukamalize mambo yako.Jua na yeye ataanza kukupiga matukio tu mwishi mnaachana.
Kifupi hi mbinu inafanya kazi kwa demu mgeni mgeni wa mapenzi ila demu ambalo lishaumizwa umizwa likiona hueleweki ukimwaga mboga linamwaga ugali...

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Nao ushauri kk
 
Nakubaliana na wewe kwa kias kikubwa as long as nimeshaipitia hiyo experience kuwa na demu mmoja ni Jau bro pia sio lazma umfeel sana take it easy as long as yy anakuelewa.. ikitokea unadate mdada unamlilia lilia hua anaona huna options na atakuacha

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Well noted,

Jifunze ata kwa majogoo ya kuku, yana mademu kibao kuku jike yaani
Swala yeye hutembea na majike 30 yeye ni kuwagonga tu sema lazima atafute kwanza malisho wawe wanakula.
Kiukweli jamaa nimemkubali Sana hata mentally unakuwa very very strong. Huku jamaa anajiliza kuwa hapendwi wewe inakuwa na options kibao. Huweiz kuwa na mademu Kama watano siku unataka kubadili wote wakazingua.
 
Naunga mkono hoja. Fikiria katika football kusingekuwa na wale wachezaji wa ziada yaani wakaa bench, hata first eleven wangekuwa wanachukulia poa na kutojituma uwanjani.

Mahusiano mazuri sio ya Kijamaa bali yenye elements za kibepari.
 
Umesema ukweli usiokubalika lkn uo ndo ukweli wenyew ndy maana kufuli ikifunguliwa na kila funguo iyo haifai lakn funguo ikifungua kila kufuli iyo ndo nzur inaweza saidia siku nyingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…