Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Ni kweli mkuu. Tatizo ukiwa nae mmoja chances za yeye kuzingua au wewe kuwa fala zinaongezeka mara dufu maana akili yako inakua ipo kwake tu, tofauti na ukiwa na options.

OPTIONS IS THE WAY OF WOMEN
HATA KAMA ANAKUELEWA KIASI GANI LAZIMA KUNA NJEMBAA ANAIINTATEINI KIANA YANI HATAKI KUSEMA YES AU NO SIKU MKIZINGUANA ANAIPA YES[emoji23][emoji23]
 

Haya yote uliyoyasema ndivyo wanawake walivyo
Ni Life strategy Yao [emoji23]
Mwanamme ukiishi hivi kama wao wanawake wanavyoishi basi ushawini maishani mwako.
Kuwa na Beta orbiters wengi unawaintateini na main chick mmoja
Hivyo tu unaweza kumuweza mwanamke

Nb: Pia uweze kujitunza na kufokasi kwenye jambo la msingi ambali ni Kazi na kipato.
Wanawake Siyo jambo la msingi maishani, ni sehemu tu ndogo ya maisha yako.
Maisha yako ni wewe mwanamme kujipenda na kujitunza na kujitafutia au kujiongezea kipato chako . Wanawake wapo sana. At 50 yrs unaweza date mtoto wa college ambae ni 19yrs old ukijiweka fresh [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ushawahi kutana na msimu wa gundu kila demu unaevizia na kutupa dini anakutolea nje, hiki kipindi kama huna pesa lazima uwe na stress sana mkuu
Wengine hata kama unapesa hata salaam hataki, labda malaya tu inayojilengesha kwa yeyote yule
 
Wengine hata kama unapesa hata salaam hataki, labda malaya tu inayojilengesha kwa yeyote yule

Pesa peke yake sio kigezo cha kumpata mwanamke, especially wale wadada decent wanaojitambua. Pamoja na hela, lazima uwe na mbinu anuai za jinsi ya kuwaingia, kuwavuta na mwisho kuwatafuna kiulaini. Ndio maana kuna watu wana pesa lakini wanapata tabu kidogo kuwapata baadhi ya wanawake. Na unakuta mwanamke huyo huyo kuna mtu hana pesa kivile ila anajimegea kiulaini kabisa. Hii ni mada ya siku nyingine.
 
OPTIONS IS THE WAY OF WOMEN
HATA KAMA ANAKUELEWA KIASI GANI LAZIMA KUNA NJEMBAA ANAIINTATEINI KIANA YANI HATAKI KUSEMA YES AU NO SIKU MKIZINGUANA ANAIPA YES[emoji23][emoji23]

U are very right kaka. Ndio maana ni nadra sana kusikia mwanamke kajinyonga kisa mapenzi. Mwanamke yoyote mzuri ana listi ya watu kwenye simu wanamsumbua kila siku, hata ukimuacha atalia lia siku mbili-tatu anaanza kuangalia kwenye ile list yake nani yupo juu anajiweka.
 
Ukitabirika atakuchoka, usipotabirika atakuona ni mtu mpya na nature na mwanadamu haswa mwanamke anapenda vitu vipya.
 
Natoa maelekezo yafuatayo:
1. Hii post iwekwe lamination
2. Ajipii akupatie ulinzi wa askari wenye silaha
3. Ujengewe sanamu makao makuu ya Serikali pale Dodoma
 
Jamaa akionesha dalili za kupunguza huko kujali kwa mwanamke wake basi lazima mwanamke ashtuke na akili imkae sawa.
 
Haswa ukiwa na chachambi.
 
Umeambiwa haitakiwi ajue awe ana hisi tu ana ning'inia ning'inia hewani hana uhakika unae au huna lazima akose msimamo
Lakin Mkuu kuhisi kuhisi huko kutamjengea kaimani fulani kwamba unachepuka mwisho wa siku nae ataanza kuchepuka, watu wataanza kumega mkeo/demu wako.

Hawa viumbe hawaeleweki, kuhisi jambo dogo tu kunaweza kumfanya akafanya maamuzi makubwa.
 
Nimechelewa mdahalo, kuna aliyeuliza kama hii ni kwa jinsia zote na akajibiwa nini?
 
Point kubwa sana hii. Backup muhimu
 
Sio asilimia flani, ukiweza kuwa na matawi pembeni wakati una manage HQ basi utapendwa wewe na kuachwa utakusikia bombani! Mie mpenzi wangu anahisi nina demu mwengine mahali and I enjoy that [emoji23][emoji23][emoji23] sababu inamchangamsha akili!
[emoji3516]
NA ANAPOCHANGAMKA AKILI,
INASAIDIA KUMFANYA ASIKAE KINYONGE!!!

AU NASEMA UONGO MKUU??
[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Wanawake tumemaliza kikao chetu msimamo wetu ni ule ule piga moto, petrol bei Chee delivery hadi mikoani[emoji3]
Yaan mwanamke akishakuchukulia poa, akauvua ile roho ya huruma alonayo


,anakua ni katili sanaaa asofaa, ataua mpaka watoto.



Wanaume wawapende wake zao kama vile wanavyopenda mama zao....nao wanawake watawajali wanaume zao kama wanavyojali nakulea watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…