Kijana , kuwa mwanaCCM pekee sio suluhisho CCM inataka vijana wajenga hoja kwa maendeleo ya Tanzania

Kijana , kuwa mwanaCCM pekee sio suluhisho CCM inataka vijana wajenga hoja kwa maendeleo ya Tanzania

Konseli Mkuu Andrew

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
749
Reaction score
875
Salam wakuu,


Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia kuwaza.Hali hii inapelekea kuwa na vijana wengi ndani ya chama ambao wanaongeza namba tuu ya wanachama ila hawana msaada hasa pale chama kinapohitaji ushauri, ndio hawa tozo zikiletwa wanashangilia zikitolewa wanashangilia.


Niaminini mimi kuna muda viongozi wa CCM wanahitaji kushauriwa kwa heshima na staa ili kuleta maendeleo ndani ya Tanzania.Niwashauri tuu vijana hasa wa vyuo vikuu kujiunga na CCM sio ndio mwisho wa kubweteka, Chama kinahitaji vijana wenye maono kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom