Kijana "Marioo" atoa Dukuduku lake kuhusu kukosa mafao kwenye mahusiano yake

Kijana "Marioo" atoa Dukuduku lake kuhusu kukosa mafao kwenye mahusiano yake

Hawezi kukusupport kwenye mambo ya muhimu sababu zifuatazo:
  • Anahofia kupoteza uwezo wake wa kukufanyia maamuzi; Uhuru wa kipesa unatakupa uwezo wa kufanya maamuzi juu ya maisha yako Wenda ikiwemo na kumuacha.
  • Kupunguza attention juu yake; anajua akikusaidia kujipata utafocus zaidi kwenye kitimiza malengo yako na yeye kumpotezea
  • Anaamin kwake ww ni mpita njia tu.
Kwakifupi anahofia kukupoteza akiwa ameisha wekeza kwako Ili Hali anajua upo kwake kimaslai tu
 
Back
Top Bottom