Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Kwa nini huna muda wa kumbembeleza mwanamke kwa sasaView attachment 3249466
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya.
Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya'
Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family musiwaze nitaimaliza kwa ajili yenu siyo kwa ajili ya Ephen tena (sina muda wa kubembeleza mwanamke sasa)
Wenye maswali mawili matatu karibuni nipo hapa kuwajibu huku nikishushia maswali yenu na juisi bariidi kabisa niliyoaguza kutoka USA
Hii ndiyo shida ya umasikini, sasa unaomba laki wakati una shida unadhani laki inaweza kutatua shida yeyote, lakini OK nitakutumia mchana wakati napata Lunch nitakuita hapa uweke namba.Naomba laki 1 tajiri nina shida ya muhimu sana.
Ni swali mkuu au ni maono yako?Kuna mtu kasababisha
Hapana mkuu nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni, hadi sasa namiliki Super market 2, Bakery 3, kiwanda cha juisi, kiwanda cha maji, pia namiliki maduka 7 ya vifaa vya Electronic na matatu ya spare za magari.Mkuu kiutani utani umetoboa life! Au umetoa kafara!?
Naitwa Mzee sasa kumwita mtu mwenye hela kijana ni kumkosea adabu.Safi kijana
Yeah nataka niongee na mods ili waconnect huu uzi na akaunti yangu moja ya bank ili mtu ukiandika chochote uwe unatumiwa 2k itawasaidia sana masikini humu jf, itakuwa mtu akiwa na shida ya hela ya mboga tu nakuja kukoment hata .... hela inaingia kwake.Interesting
Mimi starehe yangu namba moja tangu nipate ufahamu ni kuingia JF
π€π€ Tajir hana baya π₯’
πππYeah nataka niongee na mods ili waconnect huu uzi na akaunti yangu moja ya bank ili mtu ukiandika chochote uwe unatumiwa 2k itawasaidia sana masikini humu jf, itakuwa mtu akiwa na shida ya hela ya mboga tu nakuja kukoment hata .... hela inaingia kwake.
Asante hivi na wewe kwanini ni mpole sana huchangamki kama wanawake wenzako humu, hadi kipindi kile nikiwa masikini nilikuwa naogopa kukutongoza, anyway una kazi? Na je inakulipa vizuri?Hongera mkuu
ππAcha ni.comeQashy Lilith zipo za kutosha sasa njoo utoe kauli moja tu Unacome au unatembea! sina muda wa kukubembeleza tena.