Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya.
Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya'
Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family musiwaze nitaimaliza kwa ajili yenu siyo kwa ajili ya Ephen tena (sina muda wa kubembeleza mwanamke sasa)
Wenye maswali mawili matatu karibuni nipo hapa kuwajibu huku nikishushia maswali yenu na juisi bariidi kabisa niliyoaguza kutoka USA