Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

Yeah nataka niongee na mods ili waconnect huu uzi na akaunti yangu moja ya bank ili mtu ukiandika chochote uwe unatumiwa 2k itawasaidia sana masikini humu jf, itakuwa mtu akiwa na shida ya hela ya mboga tu nakuja kukoment hata .... hela inaingia kwake.
We mbwa una jua kuvimba🤣😂
 
Hii ndio JF ya Sasa...mental Ill people
Mkuu JF ya zamani ilikuwa inadili na mambo ya siasa na Intelligence

Lakini kwa sasa acha tuhamie kwenye kufurahishana sababu kwenye siasa ya sasa hivi inalazimisha kukubali kila kitu na ukipinga unapigwa mikwala mingi

Sisi sio machawa siasa ya siku hizi inahitaji machawa

Kumbuka hakuna ajira serikalini kwa hiyo sisi ni wavuja jasho A.K.A Fagio La Chuma, Jua letu Mvua yetu so tupo hapa kufurahishana baada ya shughuli nzito za kutwa
 
Huna uwezo tajiri... Chama kikubwa hichi usituone tumekaa bila kazi ukajua wazembe
Shida ni kwamba hamtashindana na mimi mtashindana na PESA yangu.
Na bila shaka hadi umeitwa wakili unafahamu kwamba PESA haijawahi kushindwa kitu.
 
Back
Top Bottom