Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

Mwisho vijana wataishia kufeerwa kwa sababu ya shobo zisizomithilika kwa watawala. Hali ya uchawa inavyozidi kushamiri inaashiria vijana wengi hawawezi kupambana kutoboa bila assist.
 
Vijana wanabidi kuwekeza katika kichwa .

Ukiwa vizuri ghorofani itakuwa ngumu kuishi Kwa kutegemea watu bali watu wataishi Kwa kukutegemea wewe.
 
sahihi fanya kazi pia mkuu usiwaongopee watu humu na nyota, hazipo na haziwork, salamu kutoka kagongwa

Mwenyekiti wa Kagongwa,
Kwa Kazi za Factory yaani viwandani na Kazi zozote zisizokutanisha watu Nyota sio MUHIMU.

Lakini ukishahitaji watu lazima Nyota(Mvuto, ushawishi) uwepo. Na hapo ndipo wanasiasa wanapoona umuhimu wa Mada hii.

Kwa wachungaji wa ng'ombe, punda, mbuzi na mifugo wengine Nyota ya Mvuto kwao ya nini?
 
Masikini kama Lucas Mwashambwa anadandia tu mara Samia, mara Tulia, mara Makonda , mara Kafulila yaani kama changudoa vile.
 
Nimecheka sana ulimpomtaja Lucas mshamba

Mzee wa kububujikwa na machozi
 
Mwisho vijana wataishia kufeerwa kwa sababu ya shobo zisizomithilika kwa watawala. Hali ya uchawa inavyozidi kushamiri inaashiria vijana wengi hawawezi kupambana kutoboa bila assist.
Kuna mmoja kawekwa kinyumba kabisa kwa ahadi ya kuteuliwa.
 
Kanuni ni moja tu
1.kuwa vizuri kichwani
2.Uwe na uwezo wa kujenga hoja mdomoni
3.Tokea upinzani
Halafu anza kuwapiga misumali kama huna akili nzuri, hoja zenye mashiko na namna sahihi ya kuchukua hatua.
Subiri dau lako ununuliwe, kula Nyama nyamaza
 
Sioni kama maandiko ya Lucas yanamvuto wowote kwa sababu hayana facts yaani anecdotal- rubbish. Hata ukisoma hupendi kuendelea kusoma.

Kuna mtu anaitwa Pascal Mayala, yule kasoma na naskia ana hadi LLM, we fikiria mtu kama yule anaandika upuuzi, nchi hadi unaogopa kama tumebaki hivi, inatisha
 

Hahahahaha
 
Ili uwachukize Mwanamke wa kichaga jaribu hii!/Ili demu wa kichaga akuelewe tekeleza huu ujumbe kwa asilimia 100

Shemeji nimeipata ile namba ya mtaalamu Yule aliye nisaidia shida zangu hii hapa 0617146864 mpgie mzee atakusaidia matatizo ulio nieleza malipo baada ya tiba
 
Wivu utakuuwa ewe mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo na chuki binafsi
 
Story ni ndefu sana sijaisoma yote. Iła hiko hivi. CCM wana succession planning zao ya viongozi.

Uchawa bahati zake ni ndani ya CCM.

Real talent utabebwa na walinzi wa chama (hawa ni watu influential) ndani ya chama na maafisa usalama.

Kikubwa kwa walinzi wa chama ni uwezo wako wakujenga hoja, tabia zako, utu wako na elimu yako.

CCM sio wa mzaha mzaha ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…