Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Lkni za upande wapili hatusikii haya mkiyasemea na kukamatwa.Sasa anachana anajua wametumia gharama kiasi gani ku print hizo picha acha wamuweke ndani labda akili itamkaa
Wakakamate na zile mbuzi zilizochanaPOLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli.
Kijana huyo pia anatuhumiwa kuchana picha za mgombea udiwani kata ya Mkundi kupitia CCM .
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo Wilbroad Mutafungwa, alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 15 mwaka huu saa tano asubuhi katika mtaa wa Mlimani, kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro.
Kamanda Mutafungwa alisema kijana huyo alichana picha za Magufuli na za ombea Seif Zahoro Chomoka, akakimbia.
Alisema, Polisi baada ya kupata taarifa hizo walifika eneo la tukio na kuanza msako na kwa kushirikiana na wananchi walioshuhudia tukio hilo walimkamata mtuhumiwa huyo na picha alizochana.
Kamanda Mutafungwa alisema Polisi wanaendelea kumhoji kijana huyo na kwamba upepelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.
Kwani picha ndio nini sasa? Mabango mengi kuzidi wapiga kura.Sasa anachana anajua wametumia gharama kiasi gani ku print hizo picha acha wamuweke ndani labda akili itamkaa
Kwamujibu wa sheria zauchaguzi hairuhusiwi kuchana mabango ya wagombea kama wahusika wakiona na kutoa taarifa na ukajulikana na kukawa na ushahidi unaingia matatani.Kisheria kosa ni nini hapo?
Huku mtaani kwenye nguzo za umeme kuna makaratasi ya matangazo ya waganga wa kienyeji mengine ya kujiunga freemason nk nk, nayo ukipita ukachana polisi wanakuhusu?
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Inategemea amekamatwaje picha zinachanwa na unaonwa live lazima utiwe hatiani, usiweke bias kwenye hiliLkni za upande wapili hatusikii haya mkiyasemea na kukamatwa.
Una uhakika mimi sio ccm ila upumbavu wa hivi ni wa kimasikini sana, ukichana ndiyo unapunguza kura au, nendeni kapigeni kura acheni unafikiKwani picha ndio nini sasa? Mabango mengi kuzidi wapiga kura.
Matumizi mabaya ya fedha za umma
Huyo atalazimishwa amtaje Devota MinjaPOLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli.
Kijana huyo pia anatuhumiwa kuchana picha za mgombea udiwani kata ya Mkundi kupitia CCM .
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo Wilbroad Mutafungwa, alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 15 mwaka huu saa tano asubuhi katika mtaa wa Mlimani, kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro.
Kamanda Mutafungwa alisema kijana huyo alichana picha za Magufuli na za ombea Seif Zahoro Chomoka, akakimbia.
Alisema, Polisi baada ya kupata taarifa hizo walifika eneo la tukio na kuanza msako na kwa kushirikiana na wananchi walioshuhudia tukio hilo walimkamata mtuhumiwa huyo na picha alizochana.
Kamanda Mutafungwa alisema Polisi wanaendelea kumhoji kijana huyo na kwamba upepelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.
Huyo RPC amekosa kazi ya kufanya, kule Songwe vijana wahuni wa ccm walishusha bendera ya Chadema mbona hatukusikia polisi wamesema lolote, huu Utawala double standards.POLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli.
Kijana huyo pia anatuhumiwa kuchana picha za mgombea udiwani kata ya Mkundi kupitia CCM .
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo Wilbroad Mutafungwa, alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 15 mwaka huu saa tano asubuhi katika mtaa wa Mlimani, kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro.
Kamanda Mutafungwa alisema kijana huyo alichana picha za Magufuli na za ombea Seif Zahoro Chomoka, akakimbia.
Alisema, Polisi baada ya kupata taarifa hizo walifika eneo la tukio na kuanza msako na kwa kushirikiana na wananchi walioshuhudia tukio hilo walimkamata mtuhumiwa huyo na picha alizochana.
Kamanda Mutafungwa alisema Polisi wanaendelea kumhoji kijana huyo na kwamba upepelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.
Unataka Kuja jeny msambwandaHivi Lissu yupo wapi Leo kwa kampeni? Eti makamanda
Tanga na PembaHivi Lissu yupo wapi Leo kwa kampeni? Eti makamanda