Uchaguzi 2020 Kijana mbaroni kwa kuchana picha za Magufuli

Wamechanganyikiwa haswaa
 
Raisbwetu ameshatuambia kuwa ni lazima kuzilinda kura zetu na isipite saa 6 ya tarehe 28
 
Na tutazilinda lwa nguvu zetu zote, hatuohopi wallah, watatujua mwala huu, ni jino kwa jino
Kiufupi magufuli hana namna ya kufanya zaidi ya kutupisha.
Na akitaka kufanya ujinga kama niliousikia leo wa kusistiza vijana kuwa wapole bac aandae ticket ya kwenda abroad
 
kama wamebandika kwa frame zako na hutaki je?
 
Unajua hadi sir GOD akiangalia anashangaa unakuta labda anasema cheki wale wamemkamata mtu kisa kachana picha ya mtu ambae uongozi wake unaisha huku huku duniani ;;; ona wale wengine wanaiba kura daaa kuna vitu vinachekesha asee
 
Kiufupi magufuli hana namna ya kufanya zaidi ya kutupisha.
Na akitaka kufanya ujinga kama niliousikia leo wa kusistiza vijana kuwa wapole bac aandae ticket ya kwenda abroad
Tatizo hata abroad hawamtaki, na anaogopa kupanda ndege, bila kusahau lugha inamsumbua mzee baba
 
[emoji16][emoji16] Tundu lisu alisema tamuweka kwenye ndege na kumrjdisha kwao chato kwa kuwa maejenga uwanja wa hadhi ya international 3km
Tatizo hata abroad hawamtaki, na anaogopa kupanda ndege, bila kusahau lugha inamsumbua mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…