Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA

Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.

Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.

Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!

Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!

Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.

Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
 
Hahaaaa mimi kuna mmoja yupo rombo huko akawa ananitukana na kuzuga yupo Sudan. Nikatengeneza ID nyingine yenye jina la kike. Nikamfuata Inbox, dogo akanipa namba yake. Hahaaaa nikamwambia mimi fulani nimetengeneza hii ID ili nikushughulikie. Hahaaaa, dogo akaomba msamaha.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA

Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.

Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.

Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!

Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!

Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.

Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Mwehu wa Jf umeanza sasa….mzee Genta…..😂😂😂😂😂!
 
Hii ni idea poa sana, Naomba tutengenezewe jukwaa la sparring humu ili wale mnaojikuta expert wa keyboard na kutukana watu tuwe tunaonana face to face tutukanane livelive tukiwa tumevaa Gloves... Gademit

Kabisa mkuu

Ila mimi huwa sipendi kuvaa Gloves,napenda nikipigwa ngumi nitoe damu (Kichuri) hapo ndipo nitajua tunapigana!
 
Back
Top Bottom