Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #461
HujuiiiAcha mikwala kumbe unaishi mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujuiiiAcha mikwala kumbe unaishi mwanza
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mkuu heshimu imani ya mwenzako
Kweli mkuu acha nyenyere wakaikuleBora ikaliwe na nyenyere
Bado hapo hawajaja wadada. Acha nifiche tu sura yangu na flat screen yangu.Mwanaume atakayekuponda hatokuwa mkweli!
Sijui unaishi mitaa gani ?Hujuiii
Mwenyewe nautafuta usingizi hapaaJirani hulali? Mi nipo lindo?
Mimi siwezi kuwa mmoja wao..Wengi tuu hasa wanaume ndo wataniponda balaa.
Kila la heri jamanSakayo amekubali niwe mchepuko naamini hatuwezi kunasiana
Hahahaahaha,mgoja niongee na msomali narudiiMimi nammendea beef lasagna siku akijipindua lazima nitangaze sera pale. Hahaha
OoohNdohvyo dia ila hayupo apa jf
We Si una mke auSakayo amekubali niwe mchepuko naamini hatuwezi kunasiana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kwanini?Mimi siwezi kuwa mmoja wao..
We mzuri tu.. Kama hujikubali basi, ila mie tycoon makaveli jr nimesema wewe ni mzuri.Muone. Usione mwandiko ukajua mie mcute ooh
Tunashukuru kwakweliKila la heri jaman
[emoji120][emoji120][emoji120] asante mkuu uende kwa amani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaa... Akuu!!![emoji23][emoji23][emoji23] we mjanja
Humaliziii. Embu rudi bwana nishakumiss humuHahahaahaha,mgoja niongee na msomali narudii
Naamini hilo..Yaan zaidi ya kuingia maji tu hakuna kingine
Kama wewe tycoon umesema basi mi mzuri [emoji4][emoji4]We mzuri tu.. Kama hujikubali basi, ila mie tycoon makaveli jr nimesema wewe ni mzuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nakuwa Mr. T2We Si una mke au