Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

mimi sio mtumwa wa fikra mzee ndo maana nimeweza kutafakari huo utumbo hapo juu
Ungekuwa sio mtumwa fikra nchi hii tungekuwa mbali sana ni kweli huamini walosema wazee wako ila unaamini wewe uliwai kuwa nyani kila liandikwalo katika karatasi ukalisoma na ukarikubar ni utumwa ikiwa Hauna uthibitsho bila shaka ulisoma historia je ww n nyani..!?
 
Kwaio tukae hapa serious kabisa, tuache kazi zetu muhim za kuweka mkono kinywani, busy kabisaa tudiscuss MAVUZI?
Are you serious??
Hopeless!
Ni kitu kidogo ila janga lake ni kubwa ni vipi kama tukiwa mahanithi kweli je unajua inachochoa ushoga kwa kiasi Fulani hili janga lake ni kubwa kuliko ujuavyo
 
Back
Top Bottom