kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Tulinyolea tupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 samaleko!Bichwa lako 😃🤣
Acha uwaki binti chugah 🤣😃😂😂 samaleko!
Basi ningekuwa naishi kwa kubaingaza mpaka sasa, elimu imenikomboa, kazi ninayo yakutosha kabisa, sasa sijui unazungumzia akili gani wew mtu, isitoshe kila mtu ana akili zake nisije nikawa najibizana na mtu mwenye stress za maisha, ngoja ninywe zangu wine nilale usinchoshe kwanzauzitoe wapi???
Hukusema wazee wa kitanganyika. Ungesema ningekuelewaUshasema wazee wa kizanzibar na sio wazee wetu wa kitanganyika
Huna hata unachokijua, na hiyo kaulimbiu yako ndo nimekutoa ktk maana kabisaa.Tatizo ni umedandia treni kwa mbele, hauwezi kuwa na mikazo halafu utake kukazwa unless uwe mchelemchele
Ndio maana nikasema ukipenda hiyo michezo ya kifirauni hata uwe vipi bado tu utataka tu ubunyuliwe, hivyo inaanzia na mindset na changamoto ni kuwa wote mnaopenda michezo hiyo huwa mna mtindio wa ubongo
By the way, kwanini naongea yote haya wakati hii ni kesi ya nyani na imefika kwa ngedere?
#tokahukonjookwaYesuanaokoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona rahisi sana, unakaa kama kifo cha mende alaf miguu unaichanua ndio naanza kazi ya kunyoa taratibu, smtms nikihitaji msaada huwa naomba watu wanisaidie na sio kila mtu anaweza bali kuna wale wataalam ndio nawaombaga