Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

uzitoe wapi???
Basi ningekuwa naishi kwa kubaingaza mpaka sasa, elimu imenikomboa, kazi ninayo yakutosha kabisa, sasa sijui unazungumzia akili gani wew mtu, isitoshe kila mtu ana akili zake nisije nikawa najibizana na mtu mwenye stress za maisha, ngoja ninywe zangu wine nilale usinchoshe kwanza
 
Tatizo ni umedandia treni kwa mbele, hauwezi kuwa na mikazo halafu utake kukazwa unless uwe mchelemchele

Ndio maana nikasema ukipenda hiyo michezo ya kifirauni hata uwe vipi bado tu utataka tu ubunyuliwe, hivyo inaanzia na mindset na changamoto ni kuwa wote mnaopenda michezo hiyo huwa mna mtindio wa ubongo

By the way, kwanini naongea yote haya wakati hii ni kesi ya nyani na imefika kwa ngedere?

#tokahukonjookwaYesuanaokoa
Huna hata unachokijua, na hiyo kaulimbiu yako ndo nimekutoa ktk maana kabisaa.
 
Mbona rahisi sana, unakaa kama kifo cha mende alaf miguu unaichanua ndio naanza kazi ya kunyoa taratibu, smtms nikihitaji msaada huwa naomba watu wanisaidie na sio kila mtu anaweza bali kuna wale wataalam ndio nawaombaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom